Mr White alishafariki Yoh...
Hiyo movie inaonesha maisha ya Jessse Motherfucking Pinkman baada ya Mr White kufariki..!
That's all about El Camino Yoh..!
Tulia.....taratibu nenda nayo ile sio ya kukurupuka kwanza uwe na subtitles halafu akili iwe imetulia sana......moja kati ya Best of series....haikosi top 5 yangu.