Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,544
- 14,923
Lolote linaweza tokea kaka ..tusifike 😃Kwanini isifike march wakat calendar Yao ndo imedondokea hapo ??? Hao watu ni professional sana sio wabongo hao
Hii series mmeshindwa kabisa kuisubiri hadi Dec 24 muiangalie ikiwa imekamilika?Aliye recommend NOCTURNE ametisha sana
Nipo ep 01 lakini series imetulia sana aisee
Nikimalizana na hii nianze Mobland S02
Nikimalizana na hizi episodesHii series mmeshindwa kabisa kuisubiri hadi Dec 24 muiangalie ikiwa imekamilika?
Alosto mnaziweza kweli?
Haupo serious kweli yani unaiweka MOBLAND series ya kuangalia badaeAliye recommend NOCTURNE ametisha sana
Nipo ep 01 lakini series imetulia sana aisee
Nikimalizana na hii nianze Mobland S02
Hii nocturne nimeidownload ila sijaanza badoNikimalizana na hizi episodes
Siicheki tena mpaka ikamilike aisee
uzuri tulizungumza hapo nyuma, Merlin atakuwa Villain atakayewasumbua mno mno Harrigan family ngoja tuone namna kutaenda, ila nahisi kuna kichwa atapita nacho hiyo familia haiwezi maliza season 3 bila msiba mwingine..Na habari njema ni kwamba View attachment 3714089
nimepokea maua yangu niyanuse ningali hai..!🫠Aliye recommend NOCTURNE ametisha sana
Nipo ep 01 lakini series imetulia sana aisee
Nikimalizana na hii nianze Mobland S02
Kama kuna kichwa kitaliwa kwenye Harrigan family basi mtu wa kwanza atakuwa Maeve.uzuri tulizungumza hapo nyuma, Merlin atakuwa Villain atakayewasumbua mno mno Harrigan family ngoja tuone namna kutaenda, ila nahisi kuna kichwa atapita nacho hiyo familia haiwezi maliza season 3 bila msiba mwingine..
unaweza shangaa character anayeboa kama huyo hata wasimle kichwa mapema, wengi wanapenda huo uchizi wake na wengi tunamchukia, mtu wa hivyo director hamtoi haraka, zile emotions za hasira tunazopata tukiona matukio ya Maeve hapo ndipo lengo la director linakuwa limefanikiwa..!Kama kuna kichwa kitaliwa kwenye Harrigan family basi mtu wa kwanza atakuwa Maeve.
Tena natarajia kuona katika episode za mwanzoni kabisa asichukue muda mrefu.
Na hii season 3 inaweza kuja mapema kwasababu naamini hii season 2 walikuwa wameikamisha mapema na ule muda ambao wanatoa kamoja kamoja, wao walikuwa location kuendelea na season 3.
Basi asimtoe Frankie Cooperunaweza shangaa character anayeboa kama huyo hata wasimle kichwa mapema, wengi wanapenda huo uchizi wake na wengi tunamchukia, mtu wa hivyo director hamtoi haraka, zile emotions za hasira tunazopata tukiona matukio ya Maeve hapo ndipo lengo la director linakuwa limefanikiwa..!
unampenda yeye ama unapenda ongea yake..!?😹Basi asimtoe Frankie Cooper
Huyu kwangu ndio the best anaitendea haki character ya uadui.
Ongea yakeunampenda yeye ama unapenda ongea yake..!?😹
Night agent ni Kali japo inaanza slow sanaWacha leo niangalie The Night Manager maana hii sikuwahi kabisa kuicheki.