Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 2,723
- 6,519
Ŵale wapenzi wa animation
Ilianza vizuri ep 1 itakuhadaaMbna watu wanasema ni ya moto sana
Ndio bosiHii ofa yako bado ipo mkongwe!?
Name of movie?View attachment 3267604
Hili jamaa linabonda!!!
Wajapoo hawapo nyuma sana kwenye matambala ya mkong'oto.
KingdomName of movie?
Vincenzo Jr unataka kituuzia mbuzi kwenye gunia 😄😄 unatuambia iyo site ina mb nafuu kama nkiri ila sasa naingia nakutana na episode moja ina MB 200+Bado parefu mkuu. Site kama nkiri.com ndio MB chache kabisa unaruka na mzigo.
😃😀😀Huko kidogo quality ni safi mkuuVincenzo Jr unataka kituuzia mbuzi kwenye gunia 😄😄 unatuambia iyo site ina mb nafuu kama nkiri ila sasa naingia nakutana na episode moja ina MB 200+
Kwasisi wazee wa nkiri tuliozoea mb 90, 80, 70 mpaka 60 per episode kwakweli hapo hatutokuelewa 😄
Kuna hii hadi mb 50 mkuu https://o2tvseries4.com/gVincenzo Jr unataka kituuzia mbuzi kwenye gunia 😄😄 unatuambia iyo site ina mb nafuu kama nkiri ila sasa naingia nakutana na episode moja ina MB 200+
Kwasisi wazee wa nkiri tuliozoea mb 90, 80, 70 mpaka 60 per episode kwakweli hapo hatutokuelewa 😄
Tumia Android huko utaipata tabu mnoHivi kwenye simu hizi za apple nikitaka kupakua episode zangu natumia website gan wakuu
Kwani apple zinabagua website? Au unataka kutufunga kamba sisi wenye INFINIKSI?Hivi kwenye simu hizi za apple nikitaka kupakua episode zangu natumia website gan wakuu
Mtaalamu kwani ukitumia safari browser itashindwa kua access nkiri.com? Hawa watu wa epo waache kujikwezaTumia Android huko utaipata tabu mno
Inawezekana ila kwa app za movie atumie Netflix tu onstream ataisikilizia kwenye bombaMtaalamu kwani ukitumia safari browser itashindwa kua access nkiri.com? Hawa watu wa epo waache kujikweza
Kwenye swala la ap watajijua wenyewe. SI WAMASEMA UKIMILIKI EPO unakuwa na hela zaidi ya sisi wa android gadgets? Sasa watumIe hizo hela ku subscribe huko netflix, hulu, apple n.kInawezekana ila kwa app za movie atumie Netflix tu onstream ataisikilizia kwenye bomba
Naunga mkono hoja kakaKwenye swala la ap watajijua wenyewe. SI WAMASEMA UKIMILIKI EPO unakuwa na hela zaidi ya sisi wa android gadgets? Sasa watumIe hizo hela ku subscribe huko netflix, hulu, apple n.k
Kuna hii mpyaWadau nataka nishushe li muvi la zamani linaitwa SAHARA 2005. inaonekana ni nzuri sana
View: https://youtu.be/o4Uep03czrs?si=tzsUC228qTQ4KQdS
Nimeangalia youtube naona iko poa mayo naishusha kwa ajili ya burudan wknend hiiKuna hii mpya