Nipo naangalia Gotham. Aisee hata sijui nilikua wapi muda wote.
Nakumbuka mwaka 2020 ndugu yangu alikua anaiangalia day and night nikawa namuona kama anapoteza muda.. Mpaka nimerudi kumshukuru.