Yaani mie siku hiyo nimeiweka kwa mbwembweeee tuwatch na dogo as anamkubali sn 50, toooba si mnjunjuano ukaanza live live, kumcheki dogo katoa mijicho nikazima na kuichukua nikahamia chumbani kuiwatch, dogo bila haya anauliza mbona umetoa? Nikamjibu imeishia hapo.