Series Kali isiyochosha wala kukinai Tafadhali!

Habari wanajamvi naomba mnisaidie kwa wale wataalam wa Series (tamthilia) wanijuze series gani kali ( kuna visa, mikasa, ngumi, mapenzi, usaliti, visasi, visa mafunzo) isiyochosha wala kukinai . Mbali na nilizoziona na ambazo ninazo au nshazidownload kama vile THE WIRE, PRISON BREAK, POWER, THE 100, BLIND SPOT. Ni hizo tuu kwa upande wangu. Tafadhali tiririka zako nizijue nami nizitafute na kuangalia. Na ukiweka na link yake itasaidia zaidi. Asante in advance
The wire..! Daaah hili ni moja ya bonge la series
 
Poa Poa ntazisaka maana niko kwenye kisima cha Ma series bro
 
Hivi jaman wanajamvi kuna series ya 18yrs yenye uchafu kama Spartacus ?!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom