Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,518
- 6,505
Mimi ni mteja wenu wa serengeti bia.
January 2017 mmeweka matangazo yenu sehemu mbalimbali hadi bar mkitutangazia bia zenu za serengeti kwa sasa ni elfu mbili tu. Hata kwenye chupa husika mmeweka hiyo bei.
Lakini karibu bar zoooote zimegoma kuuza bei hiyo, tunapigwa 2500/=. Toeni ufafanuzi kuhusu hii promotion yenu maana tumekuwa tukigombana na wahuduma mara kwa mara tukizani wanatuibia.