Si mmeambiwa Davido anakuja ?
akipafom basi subiria kuona damu ya mtu inamwagwa.
Si mmeambiwa Davido anakuja ?
akipafom basi subiria kuona damu ya mtu inamwagwa.
Nampenda matumbo yuko very creative
Nampenda matumbo yuko very creative
Nakwambia safari hii damu itamwagika...Kama mnajifanya mnaujua umafia na system yenu basi tuucheze huu mchezo tuone. Hakuna atakaeenda studio kufanya mixtape ni street justice itazungumza.
Kutwa nzima kuwatukana watu na radio zao sa najiuliza kuna anayewalazimishaga kuzisikiliza au kwenda kwenye matamasha yao????
Kama vp kamwambie sugu na mkoloni wakuandalie tamasha ili uka-enjoy na wasela mavi wenzio.
Kama una hela za manati subiri show ya vinega...pumbafuuuu...
kibali cha davido kimekwama kwa ajili ya kupafom kwny fiesta kwakuwa ana mkataba na times fm unaomfunga...