Serena Williams: Mimi ni mjamzito

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
_95711353_01cd7500-1517-45f2-90cf-ff20410b4774.jpg

Mchezaji wa tenisi nambari mbili kwa sasa duniani, Serena Williams amejitokeza katika mitandao ya kijamii na kuandika kuwa ni mjamzito.

Mwanadada huyo mwenye mika 35 aliweka picha yake kwenye snapchat akiwa amejipiga picha kwenye kioo na kuandika 20 weeks yaani majuma 20 kisha akaifuta hiyo post.

Iwapo itathibitika kwa hakika kuwa ni mjamzito, Serena anaweza kuzikosa Grans Slams tatu yaani French Open, Wimbledon na US Open.

Chanzo: BBC Swahili
 
Bora azae, maana ameliwa na washkaji kibao. Washkaji kama 13 masupastaa
 
Kwa hiyo amefanya tabia mbaya bila kutumia ndomu kitu kikajipa?? Hongera kwakee
 
Jiunge na group la whatsap la betting lenye members zaidi ya watu 130 upate mikeka ya uhakika na ushauri mzuri kuhusu mechi na company za betting. Kujiunga ni bure na ushauri na mikeka yote ni bure. Linki iyo hapo chini.<br /><br /><br /><br />Betting only
 
Back
Top Bottom