Serani nakupenda kama ulivyo

Serani nakupenda kama ulivyo

Missing you more shem lake! Niko freshy! Weekend imekaaje pande hizo?

Hahah watakoma aisee! Idgaf acha wajazane ujinga tu🚮
Kama uko poa thats good dear.
M good pia. Ila niko tired tu na harakat.

Mwaka wako huu 😊😊😊😊
Aura yako ya JF iko juu. Na weng wana-ifeel had wanazidiwa nayo na kuamua kuisema hadharan.

Iko Irresistible.
 
Kama uko poa thats good dear.
M good pia. Ila niko tired tu na harakat.
Pole sana shem
Mwaka wako huu 😊😊😊😊
Aura yako ya JF iko juu. Na weng wana-ifeel had wanazidiwa nayo na kuamua kuisema hadharan.

Iko Irresistible.
Hahah ujinga tu don’t take em serious bana!
 
Muache ajilete!
Ila na wewe huku jamvini umekuwa lulu...vidume vinakugombania kama mpira wa kona.
Fursa hiyo, nenda kwenye boksi zao za ndani wakung'arishe.
Usikae kizembe.😎
 
‘Unaamua kumpenda mtu vizuri kumbe mwenzako anakutumia kumkomesha ex wake.’
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom