Mlipieni shem wenu ada asome kwanza! Mapenzi atayakuta tuπHatimaye tumepata shemeji mkemia. π
begi atashika mshamba maana kashindwa kazi za kiumeπ€£π€£π€π€Hakikisha unazizoa kama yule kijana kwenye show ya alikiba katoro! Sijui nani atashikilia begiπ€¦π½ββοΈ
organic haipandi ni seran tuπMlipieni shem wenu ada asome kwanza! Mapenzi atayakuta tuπ
endelea kuogopa tu mwanetu utaishia kuwaita mashemeji π€£Kuna wanawake ni wakali hao...
Japokuwa wanasema nyuki wakali ndo wenye asali tamu.
Vijana wa siku hizi wanazunguka sana, wanavizia kama fusi aviziavyo mkono wa binadamu.Si umwambie tu unampenda mkuu.. huu utongozaji umekaa Organically sana secretarybird
Atakuchamba huyo! Utaitwa sura ya babaπbegi atashika mshamba maana kashindwa kazi za kiumeπ€£π€£π€π€
asiniskie woiiii
Mpaka masomo yamshinde!πorganic haipandi ni seran tuπ
hilo tusi nishalizoea labda aje na matusi yale deeeep kabisaπ π πAtakuchamba huyo! Utaitwa sura ya babaπ
Mshahara bado tu ba mkali, njaa zitatuua huku!π
kesi inakuangukia mwanetuπMpaka masomo yamshinde!π
Ngoja aje!hilo tusi nishalizoea labda aje na matusi yale deeeep kabisaπ π π
Mimi sitahusika kwanini akimbilie mapenzi na anasoma?kesi inakuangukia mwanetuπ
labda ulimuahidi ahadi nzito kashindwa kuvumilia who know π«πMimi sitahusika kwanini akimbilie mapenzi na anasoma?
usimuite sasa π©Ngoja aje!
Kwamba nitampa ziwa Victoria auπlabda ulimuahidi ahadi nzito kashindwa kuvumilia who know π«π
Tukutane kwenye uzi wa mishaharaMshahara bado tu ba mkali, njaa zitatuua huku!π
mimi naenda kufanya nini huko sina pesa!Tukutane kwenye uzi wa mishahara