Seran ni mtu wa watu!

Seran ni mtu wa watu!

Mod aliye mpa Seran ban hakufanya haki. Kama ulimtongoza akakutolea nje na ukampa ban u are a castrated mosquito ila kama kuna mengne behind the scene still u are a cow+a+r+d. Labda kama wanatukanana huko dm au mnajuana ni sawa but still u are porcupine. Free Seran na upige ban m PAK and those guys who the only thing they know ni matusi tena ya mzazi wa mtu Seran hajawahi toa tusi la nguoni. Ila kama vigezo vya ban ni multiple ids ban till 2030.
 
unajipigia chapuo
hili ndio tatizo humu jf watu kuwa na ID kumikumi
ni ugonjwa unaoitwa "Split personality disorder," more accurately called Dissociative Identity Disorder (DID)
Ni rahisi kama mgonjwa ni mwanaume kuingiwa na vishwawishi kuwa shoga
Aiseee Makebo yako
 
Mod aliye mpa Seran ban hakufanya haki. Kama ulimtongoza akakutolea nje na ukampa ban u are a castrated mosquito ila kama kuna mengne behind the scene still u are a cow+a+r+d. Labda kama wanatukanana huko dm au mnajuana ni sawa but still u are porcupine. Free Seran na upige ban m PAK and those guys who the only thing they know ni matusi tena ya mzazi wa mtu Seran hajawahi toa tusi la nguoni. Ila kama vigezo vya ban ni multiple ids ban till 2030.
Mods sasa hivi hawafanyi masihara. Ukijaribu kwenda kinyume na utaratibu wa hapa wanakupa tu talaka zako
 
Mods sasa hivi hawafanyi masihara. Ukijaribu kwenda kinyume na utaratibu wa hapa wanakuoa tu talaka zako
welk said bro lakin mbona watu humu ndani wanaenda kinyume na taratibu lakin bado wapo na wanatamba. Na ndio maana nikasema kama kigezo cha ban ni multiple ids ban them lakin kama ni jingne hata mimi nafaa ban tena life ban but wanipe warning kwanza coz uchungu wa kidole ni zaidi ya ban mara mia.
 
moja kati ya vitu vya kitahira ni kujenga hisia na mitazamo fulani juu ya ID fake za jeiefu..Jambo lakizoba kabisa
 
Hata mimi nashangaa watu Bado wanaendelea kutukana, lakini si wote wanaopewa ban.

Hapo kwenye multiple IDs niko tofauti kidogo na wewe kwa sababu humu huwezi kutumia ID hiyo hiyo kuelezwa vitu fulani fulani.

Kwa mfano, mtu kama pascal Mayalla ambaye anafahamika wazi wazi inaweze kumuwia vigumu kuja humu kusema anasumbuliwa labda na fangas za mapumbu kwa ile ID yake tunayoijua. Lazima awe na ka I'd kakufanya awe huru kueleza ishu yake humu.
 
ukinitukana niambie sababu ya kunitus na pas hata kama na id nynge haitumii vibya au anajua anao watukana pasipo mgoro goro. Vituko kando, niliwahi kupita patrol angamiza matusi jf na watu wakajiele coz sio lazma ujibu kwa tusi tena unatag mtu. Na kweli watu wengi waliacha au walipunguzaa mitusi yao. Achana nayo.
 
Yes, kama mtu ana ID zaidi ya Moja na anatumia bila kubughudhi wengine hakuna haja ya kuziunganisha ila kama anazitimia vibaya basi hazina budi kuunganishwa
 
moja kati ya vitu vya kitahira ni kujenga hisia na mitazamo fulani juu ya ID fake za jeiefu..Jambo lakizoba kabisa
you are wrong mr, jf id fake sio tatizo kumbuka hapa umeingia using your email, using your phone number na ukaambiwa edit your user name si ndio? Lakin unasahau the more important details kisa umejiita tairi la mbuzi. You must get a ban. Coz tunatukanana humu na inaisha and most members tunatumia ai hata kama sijui kifaransa lakin ntakavoguna tu au kusema mbona matusi mr hapo ndo tatizo na ids zako zote zipo. So what next?
 
Picha tafadhali
20260719_090519.jpg

Huyu hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom