Nadhani kuna tofauti kati ya sera na sheria. According to the Food and Agriculture Organization of the United Nations, a policy is a "set of decisions which are oriented towards a long-term purpose or to a particular problem.
A policy is a document that outlines what a government is going to do and what it can achieve for the society as a whole. It also outlines any and all methods and principles that the government or any entity, for that matter, will use to achieve its directive.
A law, on the other hand, is a system of rules passed by the government. Laws must be obeyed by all, including private citizens, groups and companies as well as public figures, organizations and institutions.
A policy is not a law; however, it can often identify new laws that are needed by the government to achieve its goals."
Source:
Difference between Law and Policy
Policy ni broader zaidi kuliko sheria. Sheria implements specific part of a broader policy. Kwa mfano, hiyo sheria ulioyeweka hapo juu inaweza kuwa sehemu tuu ya sera ya ulinzi na usalama.
Kuhusiana na kutokuwepo kwa ulazima wa ku-publish policies inategemea na serikali iliyo madarakani. Serikali ambayo iko accountable kwa watu wake lazima itakuwa ina-publish sera zake ili wananchi wazione. Lazima serikali hiyo ionyeshe basis ya actions zake.
Pia kwa vile Tanzania inakubaliana na Mpango wa Uendeshaji Shughuli za Serikali kwa Uwazi(OGP) ambao unahimiza uwazi, kuwawezesha wananchi, kupambana dhidi ya rushwa na kuhimiza kutumia teknolojia mpya na kuboresha utawala, then sioni ni kwa nini serikali isiwe ina-publish hiyo policy, kama ipo:
Tanzania Open Government Partnership