Sera ya Nyumba 300 Rwanda

Kwani wewe unajua maeneo hani Rwanda? Kigali ipo Rwanda. Ni wapi kule uliona nyumba za tembe/nyasi kama sisi? Shule zao kuna sehemu uliona wanakaa chini? Ile ni nchi ndogo, landlocked, ina resources kiduchu, mauaji ya genocide yaliiharibu nchi kwa kiasi kikubwa. Na kama kusingekua na vita leo hii tungekua tunapokea misaada toka huko.
Leo umejitahidi kuongea pumba but Safi coz Kuna uhuru wa maoni.. msaada kutoka rwanda!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi vijamaa vinapenda kujisifia. Dawa yenu ipo jikoni mtaingia kwenye kumi na nane tu
 
Angalieni hata miji mingine sio kigali tuu.
a7838caecc46092129c57877ebaebabf.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom