Jiamini dada.Hello JF,
Ningependa kujua sera ya kilimo ya serikali hii ya Magufuli kama ipo?
Leo sijui mtalionaje hili wazo..au kama lishawahi kufanywa before?!
..ila ningependekeza serikali kuwa na Supermarkets zakeππ
[emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wanunue na kuuza huko...
Iwe cheap compared na supermarket private...
Itawavuta wazalendo!!,
Kiasi fulani cha product yoyote inayouzwa na hizi supermarket, kiende kwenye Research
Kuwe na special Research commitee..
Kwa ajili ya ku identify masoko BOTH ndani ya nchi na nje..
Vipi???Nimezingua?
Supermarket za serikali? Ndugu labda hauwajui vizuri watumishi wa umma.
Angalia huduma unayopata unapoenda kwenye ofisi za serikali basi ndio hiyohiyo utaipata huko supermarket.
Alafu biashara ikiwa mbaya kwa sababu ya huduma zao mbovu watakacho kifanya ni kuzifungia supermarket binafsi zote ili wabakie na monopoly kwenye soko.
Serikali ikae mbali na biashara..
sera ya kilimo au sera za kilimo zaweza kuwa kwenye makaratasi lakini kwenye utekelezaji bado kabisa, kilimo kina hitaji mabadiliko makubwa sana yapaswa tuwe na kilimo cha kisasa tuanze kwa kumtoa mkulima kwenye jembe la mkoni na kumuwezesha kumiliki trekta au kulima kwa trekta sambamba na kuweka mifumo ya umwagiliaji na upatikanaji wa pembejeo za kilimo kwa bei rafiki
tukishaweza kuzalisha mazao ya kutosha kitacho fata ni ni kuweka mifumo mizuri ya kuhifadhi ikiwa ni pamoja na kutoa mazao ghafi kuwa bidhaa kamili soko la mmazao sio tatizo endapo tutazalisha kwa wingi na kwa gharama za chini
sula la serikali kufanya biashara siliungi mkono tutaruudi kule kwa kina ugawaji na RTC
Kama wewe ni mfuatiliaji wa masuala ya kilimo utagindua kuwa wadau wa kilimo hawataki mifumo ya serikali kuingilia trade in agricultural products. Hata humu kuna uzi mpya unaopinga mfumo wa TMX kwenye koroshoningependekeza serikali kuwa na Supermarkets zakeππ
πππ
Sijui mnalionaje lakini mimi nawaza kama serikali itauza cheap products then private itabidi ipunguze bei na wenyewe..kwa hio advantages ni sisi wananchi ...
halafu nje ya nchi/ export strategically product/brand ikiwa ya serikali ina weigh more credibility than products za mtu mmoja ama kikundi,
Mawazo ya kijinga kweli. Unaturudisha kwenye ujima wa awamu ya kwanza!Sijui mnalionaje lakini mimi nawaza kama serikali itauza cheap products then private itabidi ipunguze bei na wenyewe..kwa hio advantages ni sisi wananchi ...
halafu nje ya nchi/ export strategically product/brand ikiwa ya serikali ina weigh more credibility than products za mtu mmoja ama kikundi,
Nimekuwepo toka enzi za mkoloni toka mwaka 1948. Awamu ya kwanza ilikuja na na NAFCO na wala bei za vyakula havikuwa rahisi. Kurudi tena kwenye mfumo ulioshindwa Ndiyo ujinga wenyeweNiambie ubaya wa haya mawazo,?!? na ulikuwepo enzi za ujima kujua haya mawazo yalikuwepo enzi hizo?