jonas amos
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 3,615
- 4,389
Mtoa maada nadhan hujielewi na hujaelewa tanzania hasa vijijini huenda maisha yako mazur uliyopitia yanakufanya usijue shida za wengine
haha mkapa hakukosea kuwaita watu aina hii wapu mbavuHiyo elimu bure kwa miaka mitano aliyekuwa anaigharamia ni mama yako ama?
Don't be a foolish gay!
kuna watu mna roho mbaya sana. hivi kukaa chini huku unapata elimu na kuikosa kabisa elimu bora niniSera hii ya elimu bure haitufai watanzania eidha hatujafikia hatua hiyo kutoa elimu bure au elimu haipewi kipaumbele.
Taaluma imekufa watoto wamrundikana madarasani Tena wamekaa chini, mwanzo wa mwaka 100000 ya dawati kwa Kila mzazi anayemwanzisha mtoto shule au forme one.
Ni vema turudi kwenye ada ili shule ziweze kupata vitendea kazi na kujenga miundombinu
Wengine najua mtakuja na kejeri lakini wapo watakao nielewa
Lakini mkuu kwani hapo kabla ya elimu bure wazazi waliwezaje!?Mtoa maada nadhan hujielewi na hujaelewa tanzania hasa vijijini huenda maisha yako mazur uliyopitia yanakufanya usijue shida za wengine
That's very true..Kisa elimu bure watoto wanamaliza ngazi ya elimu hawajui kusa Wala kuandika
Siku hizi nasikia marufuku kurudisha darasa mtoto
Watakaofanya hivyo hutumbuliwa
Nimezaliwa kijijini na kukulia kijijini, siku za weekend nilisaidia wazazi kulima kwa jembe la mkono. Elimu haikuwa ya chini kiwango hiki.Mtoa maada nadhan hujielewi na hujaelewa tanzania hasa vijijini huenda maisha yako mazur uliyopitia yanakufanya usijue shida za wengine