- Thread starter
- #41
hii tabia ya watanzania kujifanya tunajua kila kitu badala ya kujifunza kwanza inatoka wapi? dada rebbecca keleta mpaka link msome lakini hamtakiMkuu kweli naliona tatizo kubwa la mleta mada,anaweza akawa na hoja ya msingi ila hajui namna ya kuiwasilisha!Hapa nimegundua hajui maana ya Bima,pamoja na ufafanuzi ulioutoa lakini inaonekana bado akili yake inakataa kupokea jambo jipya!
Huwezi ukawa na Bima ya elimu,ila unaweza ikawa bima ya kifo/maradhi/ajali kazini ambapo mzazi anaweza mkatia mtoto Bima ikiwa yeye atadhurika basi mtoto asomeshwe au apate fedha taslimu au vinginevyo!Bima hii inakuwa kwa mzazi na mtoto ni mnufaika!