- Thread starter
- #81
jaribu kuangalia kwa mapama changamoto za elimu tanzania na jinsi watoto wanavyokosa ada ndogo kwa ajili ya shule na mzazi kishindwa kumpeleka shule kwa sababu ya mila mbovu ilhali ana uwezo?Kila mwaka madudu yanayoibuliwa na C.A.G yangepatiwa ufumbuzi hii hoja mbovu na ya wizi isingeibuka.
Nakumbushia 1.5 Trilioni hazijulikani matumizi yake.
Rasimu ya katiba ya warioba ndio dawa ya kuwashughulikia mafisadi wa kodi zetu na rasilimali zetu kwa FAIDA ya wote.
mzazi anatakiwa kukatwa kwa lazima kwa ajili ya elimu ya mwanae na akikatwa atajua kweli nahitaji kupelekamtoto shule