Roman Israel Esq
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 2,024
- 3,281
Sasa cha ajabu ni kitu gani? Si alishaamuwa kuihama ccm kabla hata ya huo mkutano ndo maana?View attachment 915201
Mwanachama wa CCM anarudisha kadi ya CCM kwa CDM amevaa T-shirt ya CDM how, na pembeni jamaa kapiga gwanda? Hi ni propoganda mfu. Last kick of dying a donkey.
Hivi siku ya harusi unadhani ndo siku hiyohiyo watu walipanga? Maamuzi yalishafanyika, hiyo ni celebration tu na ndiyo maana aliweza kuja na gwanda pamoja na kadi ya ccm.