Prince Dos Santos
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 1,047
- 1,326
Chama la CCM limeoza hata Nyerere akifufuka akaja kuwa rais leo hii lazima atapuyanga tuNimeshangazwa na wanachadema humu wako bize na Membe for 2020.
Chama la CCM limeoza hata Nyerere akifufuka akaja kuwa rais leo hii lazima atapuyanga tuNimeshangazwa na wanachadema humu wako bize na Membe for 2020.
Chadema ni mpango wa Mungu , kumbuka kwamba hakuna mpango wa Mungu uliowahi kufeliKinacho wabeba CDM ni kimoja tu, viongozi wake wengi wana high IQ. Bado sijajua ni mchakato gani wanapitia kuwapata, natamani sana kama taifa tungewaiga. Kwenye jambo jema la ubunifu tuweke itikadi pembeni.
dawa ya kuiua chadema ni moja tu,wamnunue tundu lissu na Mbowe baaaasi kwisha hbr yaoAngalizo : Hotel zaanza kujaa , kama unahitaji kulala Mbeya mjini ili uwahi kongamano fanya booking mapema .
siyo wawauwe ?dawa ya kuiua chadema ni moja tu,wamnunue tundu lissu na Mbowe baaaasi kwisha hbr yao
Ufalme wa Mungu hauna hata dhehebu kwahiyo sahau kuhusu kuwa na chama cha siasa. Kama ni Mkristo jihadhari usiingie kwenye “Blasphemy maana haina msamaha.Chadema ni mpango wa Mungu , kumbuka kwamba hakuna mpango wa Mungu uliowahi kufeli
Ufalme wa Mungu hauna hata dhehebu kwahiyo sahau kuhusu kuwa na chama cha siasa. Kama ni Mkristo jihadhari usiingie kwenye “Blasphemy maana haina msamaha.
Nauliza tu hivi unajua kuna ukumbi wa tughimbe mafiat pale, naona unauwaza ule ule wa mblzKwa jiji zima kama la mbeya huwezi kufanyia kongamano katika kiroyal Kama tughimbe ni kidogo Sana japo naishi nyumba yakupanga ,kwa Mbalizi ni kweli inahadhi yake lakini ni padogo Sana angalau lingefanyika eneo Kama uwanja wa mahubiri ingekua ni nafasi kubwa kwa wananchi kuhudhuria kongamano Hilo mtawanyima nafasi na haki ya kimsingi kuwaunga mkono kwenye juhudi hizi
Naomba kuwasilisha
Mkuu saizi sisi makamanda tunapambana kwanza Membe aingie ikulu. Hayo mengine ni ziada tu.Chadema ni moja ya taasisi ya kisiasa imara sana inayoendeshwa kiueweredi sana
Tunaunganaa na Cuf ya maalim ambayo nndio asilia.Chadema ni moja ya taasisi ya kisiasa imara sana inayoendeshwa kiueweredi sana
Mkuu rudi soma comment upya!!!!! usikurupuke kama panya asie kua na makaoNauliza tu hivi unajua kuna ukumbi wa tughimbe mafiat pale, naona unauwaza ule ule wa mblz
Safi sana! wangekuwa na Akili hizi ingekuwa safi sana. Ila bahati mbaya wao wapo serious km kawaida yao. ManyumbuSi wana wachochea mnyukane? fisi ukitaka uwaulie mbali anza kuwatupia fupa wanauana na kujeruhiana kisha unakuja kumalizia kwa kufyekelea mbali
Naona hawataki tena magwanda... Daah hela tamu sana! Joto la kazi gani banaaHabari ndio hiyo wakuu.
View attachment 913647
UPDATES :
....................
View attachment 915021
View attachment 915022
View attachment 915078
View attachment 915146
View attachment 915164
Mungu ibariki Chadema
ccm wakiona hiki chama cha chadema bado kina function, pamoja na mapesa waliyoyatumia na maguvu ya dola na wasiojulikana, basi roho inawauma sana.Habari ndio hiyo wakuu.
View attachment 913647
UPDATES :
....................
View attachment 915021
View attachment 915022
View attachment 915078
View attachment 915146
View attachment 915164
Mungu ibariki Chadema