Septemba 5.ving'amuzi ckurusha bure chaneli za ndani

Septemba 5.ving'amuzi ckurusha bure chaneli za ndani

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
11,053
Reaction score
15,520
Kupitia kituo chétu bóra TBC, Mkurugenzi mkuu wa Habari maelezo ametangaza kuwa Wenye ving'amuzi vya Startimes, Ting, Continental na Digitek watarusha Chennels za ndani kwa idadi ya 30 + bureeeee bila kulipia.
Hakikisha una TV, King'muzi A.K.A kisimbusi na uwe na LUKU ya kutosha.

Bado siku 8. Lets Count Down.

Sent using Jamii Forums Linux APP
 
Kupitia kituo chétu bóra TBC, Mkurugenzi mkuu ametangaza kuwa Wenye ving'amuzi vya Startimes, Ting, Continental na Digitek watarusha Chennels za ndani kwa idadi ya 20 + bureeeee bila kulipia.
Hakikisha una TV, King'muzi A.K.A kisimbusi na uwe na LUKU ya kutosha.

Bado siku 8. Lets Count Down.

Sent using Jamii Forums mobile app
Itakuwa safi sana maana gharama zimekuwa ni nyingi sana kila kitu unalipia mwisho wa siku tutaambiwa hata kutembea tulipie hatua [emoji16] [emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dawa ni kumiliki cha kulipia na hicho cha bure, siwezi kuiacha Dstv, hata hivyo local channels hazina cha maana.
 
Kila kitu kinauwawa sasa,politicaly
Soon tutakuwa kama North korea
 
Watanzania tuwe na shukrani, hayo ni maandalizi ya kuonyesha live, ujio wa Tundu lisu, ili walio wengi washuhudie [emoji851][emoji851]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom