Serikali: Kuanzia september 5 channel zote za ndani zitakua bure kwa visimbusi vyote husika

Na nyigine 34? Bure kabisa bwerere kama enzi zile za madishi na "antenna"? Sasa kwa nini wasiwaachie DSTV nao watuwekee hiyo ITV "bure" ili kama bando likiisha basi abakie na hiyo ITV, TBC etc?

Ngoja tuone hili game litaishaje
 
Hao ni watu wakupuuzwa tu. Hawajawahi kuwa wa kweli na wawazi.

Watupe maelezo ya kueleweka na yenye msingi, sio kutupa vionjo vya mizuka na ndoto za mchana.

Toka tunaingia kwenye mfumo wa digitali 2010 tuliambiwa kila kitu ni bure na bora, lakini kilichotokea ni kununulishwa ving'amuzi kiholela na kulipishwa gharama kila mwezi.

Katika hili mimi ni Thomaso.
Nitakuwa miongoni mwa watu wa mwisho kabisa kuamini.
 
Back
Top Bottom