Separation VS new relationship is it right?

Aksante sana kaka yangu kwa kuniweka sawa. Na hapa nadhani ndipo nilipokuwa nachanganya mie. So hiyo miaka 2 ni kuwa inatoa go ahead ya kuvunja ndoa na si kwamba ndoa ishavunjika si ndio?

Naombeni msaada wa mwanasheria aisee!

Hapo itabidi nianze kuku-charge fee kabisa. lol. Ushahidi ambao unaweza kuutoa mahakamani kuwa ndoa imevunjika kwa ulivyoonishwa kwenye Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971

  1. adultery committed by the respondent, particularly when more than one act of adultery has been committed or when adulterous association is continued despite protest [ina maana act moja haitoshi?].
  2. sexual perversion on the part of the respondent;
  3. cruelty, whether mental or physical, inflicted by the respondent on the petitioner or on the children, if any, of the marriage;
  4. wilful neglect on the part of the respondent;
  5. desertion of the petitioner by the respondent for at least three years, where the court is satisfied that it is wilful;
  6. voluntary separation or separation by decree of the court, where it has continued for at least three years;
  7. imprisonment of the respondent for life or for a term of not less than five years, regard being had both to the length of the sentence and to the nature of the offence for which it was imposed;
  8. mental illness of the respondent, where at least two doctors, one of whom is qualified or experienced in psychiatry, have certified that they entertain no hope of cure or recovery;
  9. change of religion by the respondent, where both parties followed the same faith at the time of the marriage and where according to the laws of that, faith a change of religion dissolves or is a ground for the dissolution of marriage.
 
naona kuwa na watoto kigezo kingine cha kuvumilia shida za ndoa,

Labda ungefafanua umeelewaje hicho kigezo. Sidhani kama ni kigezo but ni muhimu to take into account how much of an impact your divorce will have on your children.
 
kustick kwenye quiz yako bila kukuuliza maswali ni unafiki, hivi unaweza kusema kama Irene Uwoya kuwa hukuwahi kumpenda huyo mumeo? My advise usikilize moyo wako bana, sisi wengine wapitaji tu humu wala viatu vyako havitubani sie

He! naona maono au? Yamekuja hayo kwenye huu uzi? Am watching closer closer..........
 
Hapo itabidi nianze kuku-charge fee kabisa. lol. Ushahidi ambao unaweza kuutoa mahakamani kuwa ndoa imevunjika kwa ulivyoonishwa kwenye Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971

  1. adultery committed by the respondent, particularly when more than one act of adultery has been committed or when adulterous association is continued despite protest [ina maana act moja haitoshi?].
  2. sexual perversion on the part of the respondent;
  3. cruelty, whether mental or physical, inflicted by the respondent on the petitioner or on the children, if any, of the marriage;
  4. wilful neglect on the part of the respondent;
  5. desertion of the petitioner by the respondent for at least three years, where the court is satisfied that it is wilful;
  6. voluntary separation or separation by decree of the court, where it has continued for at least three years;
  7. imprisonment of the respondent for life or for a term of not less than five years, regard being had both to the length of the sentence and to the nature of the offence for which it was imposed;
  8. mental illness of the respondent, where at least two doctors, one of whom is qualified or experienced in psychiatry, have certified that they entertain no hope of cure or recovery;
  9. change of religion by the respondent, where both parties followed the same faith at the time of the marriage and where according to the laws of that, faith a change of religion dissolves or is a ground for the dissolution of marriage.

Aisee................ THREE YEARS?! HJakuna version mpya ya hivi karibuni? Ifike mahali sheria zetu ziendane na hali halisi za maisha ya kisasa kha!! Miaka mitatu yote hiyo si ni kuhalalisha uzinzi?
 
Hapo itabidi nianze kuku-charge fee kabisa. lol. Ushahidi ambao unaweza kuutoa mahakamani kuwa ndoa imevunjika kwa ulivyoonishwa kwenye Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971

  1. adultery committed by the respondent, particularly when more than one act of adultery has been committed or when adulterous association is continued despite protest [ina maana act moja haitoshi?].
  2. sexual perversion on the part of the respondent;
  3. cruelty, whether mental or physical, inflicted by the respondent on the petitioner or on the children, if any, of the marriage;
  4. wilful neglect on the part of the respondent;
  5. desertion of the petitioner by the respondent for at least three years, where the court is satisfied that it is wilful;
  6. voluntary separation or separation by decree of the court, where it has continued for at least three years;
  7. imprisonment of the respondent for life or for a term of not less than five years, regard being had both to the length of the sentence and to the nature of the offence for which it was imposed;
  8. mental illness of the respondent, where at least two doctors, one of whom is qualified or experienced in psychiatry, have certified that they entertain no hope of cure or recovery;
  9. change of religion by the respondent, where both parties followed the same faith at the time of the marriage and where according to the laws of that, faith a change of religion dissolves or is a ground for the dissolution of marriage.

Now you are talking, hakuna mwanamke atakayeacha ndoa yake hivi hivi, number moja mbili na tatu yote yanahusika, nimeshaokoka majaribio kadhaa ya kutolewa roho.
 
Kwani mmeshatenganishwa kisheria?

nilireport polisi kwamba nimeamua kuondoka na siko nae, nilifanya hivyo coz kulikuwa na kesi zetu hapo kituoni, walikuwa wanajua matukio maana ilifikia wakati kila nikila kipondo nashtaki ila sikuwa nataka kuendelea na kesi coz angefungwa. nilipoona haogopi hiyo pia ndio nikachomoka fastaaa, juzi baada ya kutengana kanikuta njiani kataka kunianzishia kibano kingine nikaokolewa akimaliza tu drama ndio anakumbuka kunitext bado ananipenda.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Now you are talking, hakuna mwanamke atakayeacha ndoa yake hivi hivi, number moja mbili na tatu yote yanahusika, nimeshaokoka majaribio kadhaa ya kutolewa roho.

Pole dada ila dah, sasa kama amekukosa kosa ukiwa wa kwake, na bado hataki kukuachia, je akikukuta na mwingine haitakuwa hatari?
Nway, wewe ni mtu mzima unajua ukifanyacho, play it safely kwa sababu kama ilivyowekwa hapo juu, mumeo bado anayo haki ya kudai wewe ni mkewe as hamjaachana rasmi so kama unataka salama yako bora ukamilishe hayokabla hujaanzatoka hadharani na Romeo wako.
 
nilireport polisi kwamba nimeamua kuondoka na siko nae, nilifanya hivyo coz kulikuwa na kesi zetu hapo kituoni, walikuwa wanajua matukio maana ilifikia wakati kila nikila kipondo nashtaki ila sikuwa nataka kuendelea na kesi coz angefungwa. nilipoona haogopi hiyo pia ndio nikachomoka fastaaa, juzi baada ya kutengana kanikuta njiani kataka kunianzishia kibano kingine nikaokolewa akimaliza tu drama ndio anakumbuka kunitext bado ananipenda.

Na hiyo ya kumtishia kushtaki kisha wafuta kesi ndio inayotuponza wengi, bwana ukiamua kufikisha kesi police bora umalizie kabisa, alale ndani siku moja na RB umchukulie lah sivyo kula kipondo, lia kimya kimya ndani, endelea kuishi naye.
 
Dada Ndeonasiae, binafs napata maswali mengi,alafu unapo leta hoja usiwe na jazba kisa watu wanakushauri kinyume na utakavyo
Nikija kwenye hoja yako,ningependa kujua tatizo la mgogoro kwanza ila kwakua hukutaka kuzungumzia mgogoro bali mapenzi mapy bas ngoja nizungumzie mapenzi mapya tu.
unaonekana hayo mapenzi mapya yamekunogea,yalikua ya siri sasa unataka kuhalalisha kifup yamekua matamu kuliko ya mzazi mwenzako.kaa ukijua ni lazima upate taraka kwanza then ndo uingie kwenye mahusiano mengne lakin pia ufahamu mahakama sinasita sana kutenganisha ndoa na sijui kwa nini,yaani kama mmoja hataki na hata kama anamakosa akayakubali na kuomba radh,mahakama itamjar na hairuhusu taraka.kama wewe ndio unarazimisha hvyo nakushaur ujipange sana.

usipate maswali kaka, sipendi kuongea tu mabaya yake maana nitaonekana niko upande mmoja, naomba unielewe hali iliyofikia ni mbaya, haiwezekani kabisa kukaa pamoja, inahusisha usalama wangu na wanangu, matishio ya kuuana na kutokuwa na amani kwa hali ya juu. kwa yangu si dhani kama inashida sana kusitishwa nimeambiwa kuwa kama kuna documented evidence za violence (of which ninazo kibao), sema nilimuinvolve nia yangu mwanzo ili kuwe na kaustaarabu fulani ni baba wa wanangu haiwezi kubadilika hiyo, alikuwa mkaliii.
 
Na hiyo ya kumtishia kushtaki kisha wafuta kesi ndio inayotuponza wengi, bwana ukiamua kufikisha kesi police bora umalizie kabisa, alale ndani siku moja na RB umchukulie lah sivyo kula kipondo, lia kimya kimya ndani, endelea kuishi naye.

Alishalala, sema niliyokuwa sitaki ni mahakamani, kwanza muda wangu pili ni baba wa watoto akifungwa mwaka nisingejisikia vizuri japo alinipiga. so nakuwa naenda kuomba wamuachie.
 
Pole dada ila dah, sasa kama amekukosa kosa ukiwa wa kwake, na bado hataki kukuachia, je akikukuta na mwingine haitakuwa hatari?
Nway, wewe ni mtu mzima unajua ukifanyacho, play it safely kwa sababu kama ilivyowekwa hapo juu, mumeo bado anayo haki ya kudai wewe ni mkewe as hamjaachana rasmi so kama unataka salama yako bora ukamilishe hayokabla hujaanzatoka hadharani na Romeo wako.

Bado sijaingia kwenye mahusiano ila nafikiria it can happen "you know!"
 
Dah! anaza ndoa viktim.
Wakuu msaidieni mwenzenu nami naongeza maombi mpatiwe uzima wa milele kwa kuwasaidia walioharibikiwa.

Kwaaaheri!
 
Dada piga moyo konde urudiane na mumeo, hali ya street ni mbaya sana. Watakuja na mbwembwe nyingi za kukupenda na kukuhudumia; mind you they will never be him. Ila ukitaka upate experience na exposure kwenye stress, welcome to the world!

Huwezi jua hali ya huko nilipotoka acha, usiombe!
 
Bado sijaingia kwenye mahusiano ila nafikiria it can happen "you know!"

.................Ahaaa sasa nakuelewa mpendwa.

Kusema ukweli ni ngumu kusema kuwa haitotokea but kwa aliyeumizwa hisia, zikaumia haswaa, nachelea kusema kuwa inaweza kumchukua miaka kadhaa kabla hajajaribu kuingiza tena mguu wake kwenye maji, hata kuyajaribu. Si unaelewa mpenzi, ukishang'atwa na nyoka..................
 
@Kbd, mimi bado cjajibiwa...mtu unapoahidi kuishi na mwenzio kwenye shida na raha ni shida zipi ndo humaanishwa? Naogopa nisijekushauri nikawa acomplise ulizingatia imeandikwa 'Alichokiunganisha Mungu binadamu asikitenganishe'.

Pili, sasa kama umemsamehe na kusahahu ni kwanini asiwe mumeo bado?

Nilisema nitaishi naye kwa shida na raha sio kwa shida atakazozitengeneza kwa makusudi ya kuniumiza.
 
Je kisheria inakatazwa endapo mmetengana, wapi mwanasheria . Pili wapi nitapata mwanasheria anisaidie kushuhulikia divorce mwenye gharama nafuu maana nimeulizia gharama kwa mwanasheria fulani private yani ni hela ya kiwanja nikabaki mdomo wazi!

Ndeonasiae huna haja ya kuhangaika kutafuta mwanasheria utaliwa pesa zako bure kwa kesi ambayo ungesimama mwenyewe tu na kupata haki yako. Kesi za divorce ni straight forward - mahakama huwa iko interested kujua ni sababu zipi zinakufanya utake hiyo divorce. Ukishazitaja wanaangalia uzito wake kisheria. Bahati nzuri kuna mdau amezimwaga somewhere kwenye hii sredi yako na wewe umesema namba moja hadi 3 zinakuhusu. Hivyo tayari una sababu za msingi za kupata divorce yako. Dada yangu alikuwa na sababu kama zako, akasimama mwenyewe tu mahakamani, na mahakama ikatoa divorce ingawa mumewe alikuwa anasema bado anampenda. Tatizo ni kwamba kesi hizi zinachua muda mrefu kumalizika, dada yangu amepata divorce yake after 3 years. Lakini hakuna rushwa wala nini, ni haki bin haki! Yaani hata kama mumeo atang'ang'ania msimamo wake kwamba bado anakupenda, bado mahakama haiwezi kukulazimisha kukaa ktk ndoa ya hatari kiasi hicho - I mean kulingana na sababu zako hizo tatu! Kwahiyo mwisho wa siku mahakama itatoa divorce tu unless ubadilishe msimamo wako.

Kama wadau wengi wanavyoshauri, na sisi tulimshauri dada asiingie ktk mahusiano mapya publically kabla divorce haijatoka, maana kisheria unakuwa bado ni mke wake hivyo anaweza kukushika ugoni. Now she is free na wamegawana kila kitu kisheria!
 
.................Ahaaa sasa nakuelewa mpendwa.

Kusema ukweli ni ngumu kusema kuwa haitotokea but kwa aliyeumizwa hisia, zikaumia haswaa, nachelea kusema kuwa inaweza kumchukua miaka kadhaa kabla hajajaribu kuingiza tena mguu wake kwenye maji, hata kuyajaribu. Si unaelewa mpenzi, ukishang'atwa na nyoka..................

To me naweza sema niko huru sababu matatizo hayakuja ghafla, nilikuwa nayo na nimeyavumilia mda mrefu so ni kama ndoa ilikufa mapema sana
 
Back
Top Bottom