Separation VS new relationship is it right? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Separation VS new relationship is it right?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Ndeonasiae, May 22, 2012.

 1. N

  Ndeonasiae Senior Member

  #1
  May 22, 2012
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni miezi kama nane tumeseparate na my hubby, na with that time nimejithibitishia I dont want to go back kabisa. Divorce processes are on (nikimaanisha tumeanza kulizungumzia kama familia za pande mbili bado haijafika mahakamani) japo kuna mvutano mkubwa jamaa hataki kabisa kuvunja hii ndoa (ambayo mimi najua imevunjika ila bado mambo ya kisheria tu). Im in my early 30s, Tuna watoto 2 naishi nao na kuwatunza kwa kila kitu they are fine and I dont have problem with that.

  Ushauri:
  1.Nikiwa kama binadamu wa kawaida honestly najisikia kama kuingia kwenye mahusiano tena, naomba mnisaidie muongozo wanaJF, Is it right to get into the relationship during separation? if yes to what level, kisirisiri au hata public? je ni upi muda muafaka (eg mwaka 1 au 2 au never) hasa unaoshauriwa kwa walioachana kuwa na relationship nyingine?
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Subiria divorce. . .kwani mahusiano yanakimbia?
   
 3. N

  Ndeonasiae Senior Member

  #3
  May 22, 2012
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  honestly?? hiyo ni sheria ya nchi ama basic principles of life??
   
 4. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,290
  Likes Received: 1,441
  Trophy Points: 280
  ulishakuwa na mahusiano nje ya ndoa?
   
 5. N

  Ndeonasiae Senior Member

  #5
  May 22, 2012
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sikuwahi na sipendi. I believe in fsithfulness
   
 6. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #6
  May 22, 2012
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,017
  Trophy Points: 280
  wewe ulikuwa na lako jambo ndio maana hutaki kusuluhisha huo mgogoro wa ndoa yako. Unakuwa kama JLO bana
   
 7. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #7
  May 22, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,290
  Likes Received: 1,441
  Trophy Points: 280
  unadhani kuwa separated kuna maanisha bado uko ndani ya ndoa (in terms of commitment)?
   
 8. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #8
  May 22, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hata sijui. . .nimejisemea tu.
   
 9. N

  Ndeonasiae Senior Member

  #9
  May 22, 2012
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  whatever you think you are right, kiatu nimekivaa mimi najua kinaniumiza kiasi gani. if you can be kind enough to stick into my questions. :)
   
 10. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #10
  May 22, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Ingia kama umepata unayempenda. But ukishakuwa na uhakika nae, fanyeni public wakati huohuo nenda mahakani ku-file maomba ya divorce, kama kinga tu ili asijewabughudhi...
   
 11. N

  Ndeonasiae Senior Member

  #11
  May 22, 2012
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naamini kwa sasa sina commitment yoyote ile, mentally and physically, and that is clear to the other part, I dont have a problem with him dating
   
 12. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #12
  May 22, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,290
  Likes Received: 1,441
  Trophy Points: 280
  kama unaamini huna committment, kwa nini usiendelee na unalowaza hadi uje kuuliza?

  Kumbuka mambo ya mapenzi ni binafsi
   
 13. N

  Ndeonasiae Senior Member

  #13
  May 22, 2012
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thank you tuko, nimeipenda hii. je kuna kikwazo endapo sijafile bado? im just asking nijue
   
 14. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #14
  May 22, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  sidhani kama kuna ubaya......

  Ila kwa nini usijipe muda kwanza?
   
 15. N

  Ndeonasiae Senior Member

  #15
  May 22, 2012
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  you are right hicho ndicho ninachoamini lakini nikaona si vibaya nifanye kipima joto nione kuwa niko kawaida, pengine inaweza kuwa kosa kisheria!
   
 16. N

  Ndeonasiae Senior Member

  #16
  May 22, 2012
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hili nalo neno nalifikiria pia thanks.
   
 17. k

  kisukari JF-Expert Member

  #17
  May 22, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,763
  Likes Received: 1,052
  Trophy Points: 280
  mambo ya ndoa ni mazito.saa nyengine divorce is the best option,ingawa ki utamaduni wetu,utasemwa tu.kuhusu mleta topic,kwa nini usijipe muda zaidi?kabla ya kuingia kwenye mahusiano mapya?maana mambo ya kuachana kwa upande mwengine ni mazito
   
 18. N

  Ndeonasiae Senior Member

  #18
  May 22, 2012
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Etieee?? nadhani ni wazo zuri pia
   
 19. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #19
  May 22, 2012
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,017
  Trophy Points: 280
  kustick kwenye quiz yako bila kukuuliza maswali ni unafiki, hivi unaweza kusema kama Irene Uwoya kuwa hukuwahi kumpenda huyo mumeo? My advise usikilize moyo wako bana, sisi wengine wapitaji tu humu wala viatu vyako havitubani sie
   
 20. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #20
  May 22, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Ya kuna kikwazo... Ingawa familia zimeshakaa, but ndoa ilifungwa kisheria. Akithibitisha kuwa una uhusiano na mwanaume mwingine ana uwezo wa kumshtaki/kuwashtaki. Ingawa sio lazima kuwa atashinda kesi, but atawasumbua na kuwakosesha amani.
  Uki-file maombi ya talaka ina maana kuwa ni kweli una nia ya talaka. Hata hivyo uwe makini tena hapa kwani kama mtakuwa public kabla ya kuomba hiyo talaka, then atatumia kipengele kuwa unaomba talaka kwa sababu umepata mwanaume mwingine. Katika hili, ushahidi wa vikao vya familia utakusaidia...
   
Loading...