Senzo yupo chini ya ulinzi anahojiwa kuihujumu Simba Sc

Nyie Simba ni timu ya ajabu sana na ni waswahili hata Madrid , Barcelona znachezea vichapo kam kawaida nyie ni kina nani msifungwe , mlianza na marefa sasa mmehamia kwa viongoz na wachezaji wenu yani ni vichekesho tu,, mkishinda kwenu ni piraa biriani ila mkifugwa mmehujumiwaa ahaa

Sent from my CPH2015 using JamiiForums mobile app
 
Mbona Manula hakucheza any of the two games ambazo tulipoteza??
 
Kwenye mpira kuna jinai?.
Ebu wampeleke mahakamani tuone.
Hayo Mambo ya kuhujumu timu hayakuanza Leo Wala Jana.
Mambo ya Mpira sionya kupelekana polisi.
Naona moo Kama anaishiwa pumzi.
Moo acheze mpira aache drama.
Kama kuna jinai inaonekana wazi unataka iachwe?
 
Ni ujinga KUENDELEA kuhangaishana na senzo.mtu ameshaondoka nini Tena mnataka?.
 
Kwasasa viongozi wa Simba wanahangaika na kuwatuhumu wachezaji na baadhi ya wasimamizi wa timu Ila muda si mrefu watakuja kuumbuka na kukosa mtu wa kumrushia visingizio na itawapasa wao wenyewe kuwajibika au kuwajibishwa na wanachama.
 
Hapa tunazungumzia waimba taarabu kama wewe maana maswali yako yamekaa kimipasho
Nimesema mashabiki wa simba na wanawake waimba taarabu tofauti ni uvaaji wa dela tu

Nimekuuliza Mzee Yusuph ni Mwanamke?

Au hujaona neno mwanamke.
 
Acha kudanganya watu kama ni kupotea team ilipoteza match 2 kawaida
 
Kama kuna mambo ya hujuma UONGOZI ukae chini kudhibiti hayo mambo yaishe na soka liendelee.

Simba tucheze mpira, kikubwa uongozi uwe imara... Wachezaji na benchi la ufundi waelewane basi.

Tuache migogoro ya kitoto SIMBA NI TIMU KUBWA.
 
Pale Simba I am not so sure what they are smoking....wamejiingiza kwenye kaa la Moto kwa tuhuma dhidi ya Senzo...
 
Kwenye mpira kuna jinai?.
Ebu wampeleke mahakamani tuone.
Hayo Mambo ya kuhujumu timu hayakuanza Leo Wala Jana.
Mambo ya Mpira sionya kupelekana polisi.
Naona moo Kama anaishiwa pumzi.
Moo acheze mpira aache drama.
Kwenye mpira kuna JINAI.
Ndiyo maana kuna wanamichezo walishafungwa jela.
JINAI ya hivi karibuni inamuhusu aliyekuwa rais wa TFF Jamal Malinzi na baadhi ya watendaji wake.
Na pia waliokuwa viongozi Simba, Aveva na Kaburu.
Kwahiyo kwenye mchezo wa soka kuna jinai nyingi.
Tuwaache polisi wafanye kazi yao
 
Wamesema kuna chatting wameziona, wewe unaleta historia yako ya kwenye hizo timu, hiyo historia yako haijibu current question, wacha mamlaka zinazohusika ziamue.
 
Nasikia Simba wanakamata kila mtu wanayekutana nae wanambambikizia KESI YA KUIHUJUMU SIMBA🤣🤣🤣🤣🤣
 
Jamaa kachukua timu hela hataki kutoa kaenda kumhonga Babra....sasa wazee wanataka chao; Wanaohumu Simba ni wazee wa simba wanataka chao
 
Simba ni timu kama nyingine, inashinda, inatoa sare na kufungwa.
Lakini jee kama wamefumania vielelezo vya hujuma wakae kimya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…