Hii ngoma ni kali sana, na album ya IRENE pia ni kali sana.Hahahaha kuna kitu alifyatua inaitwa IRENE acha kabisa, huyu Irene hana dogo! I have written so many letters begging you to come back to my house....you break my heart Iran oogh, you break my Soul, Irene ooggh dah
Senzo mashairi mafupi mafupi na matamu, yanagusa maishaHii ngoma ni kali sana, na album ya IRENE pia ni kali sana.
Just call me from wherever, I will be there!I will be there na Jah guide ni nyimbo zangu bora za muda wote kutoka kwa Senzo.
Najua utamsema Bob Marley, ni kweli ana ngoma kali nyingi na watu wengi wanaamini ndo mkali wa Rege kupata kutokea, ila kwangu mimi Senzo na Dube nyimbo zao huwa zinanitouch sana, nikisikiliza nyimbo za Dube na Senzo nakuwa na feelings fulani hivi ambayo siipati nikimsikiliza BobYuko vizuri...
Ila hiyo 1. Dube
2. Senzo
Ni kwa africa si ndio!?
I'll be there ni mwisho wa matatizo ikifuatiwa na New Love, yaani nikiplay hiyo I'll be there naweza nisiibadilishe hata masaa mawiliNaipenda
Great Counqerer Warrior
I'll be there
New love
Rast wake up n. k
Ila kumfikia Lucky Philip Dube bado sana
Mkali ni Pita Toshi anafata Bob wengine wote kawaidaNajua utamsema Bob Marley, ni kweli ana ngoma kali nyingi na watu wengi wanaamini ndo mkali wa Rege kupata kutokea, ila kwangu mimi Senzo na Dube nyimbo zao huwa zinanitouch sana, nikisikiliza nyimbo za Dube na Senzo nakuwa na feelings fulani hivi ambayo siipati nikimsikiliza Bob