senti ya mkoloni ilikuwa na Thamani sana kwa Wakati huo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

senti ya mkoloni ilikuwa na Thamani sana kwa Wakati huo

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Jun 19, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280


  [​IMG]
  kama kuna aliewahi kutumia senti kama hii na anyooshe mkono. we! mtimkubwa-mkavu, acha! hujazikuta hizi, labda kidoooogo ndesanjo na mark.

  1964 ilipoanza hiyo Senti ndio mwaka niliozaliwa je wewe Au Mwana J.F. ulikuwa na miaka mingapi?Au hujazaliwa? Kuna Mtu yoyoyte katika hii J.Forums ameshawahi kuitumia hiyo Senti ya kikoloni?
   
 2. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Yap... tulikuwa tunazifunga na kamba kisha unafunga kiunoni kama shanga ili isipotee
   
 3. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  sijawahi kuona hiyo
   
 4. jamadari

  jamadari JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2010
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 295
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  inaonyesha ulikuwa bado wewe hujazaliwa ndio maana hujaiona hiyo Senti kumi ya Mkoloni. Mmi ninatamani bora hiyo Senti kumi irudi tena kama zamani.
   
 5. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Niliitumia nilipokuwa darasa la kwanza Senti kumi unapata andazi kubwa au kitumbua. Ukiongeza senti tano unapata kikombe cha chai.
   
 6. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #6
  Jun 20, 2010
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  kwani hii hela ilitumika mpaka mwaka gani?
   
 7. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #7
  Jun 20, 2010
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Tuko wengi na bado tunadunda. Pamoja na hiyo senti kumi zilikuwapo na senti moja na senti tano. Ni vigumu kukisia lakini senti moja ya wakati huo uliweza kwenda nayo dukani na ukanunua kitu. Kama unataka kujua zaidi hebu bonyeza hapa chini;
  <http: numismaticon.com="" catalog="" british-east-africa="" coins="" page_1=""> World coin catalog - British East Africa - Page 1 of 1 - Numismaticon.com


  <http: numismaticon.com="" catalog="" british-east-africa="" coins="" page_1=""></http:></http:>
   
 8. Njaa

  Njaa JF-Expert Member

  #8
  Jun 20, 2010
  Joined: Dec 6, 2009
  Messages: 970
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 60
  Asante mkuu, hii link nimeifurahia sana
   
 9. Njilembera

  Njilembera JF-Expert Member

  #9
  Jun 20, 2010
  Joined: May 10, 2008
  Messages: 1,425
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 160
  Hee yaani kumbe JF ni ya watoto wa juzi tu! Yaani kuiona senti 10 tu na wala sio kuitumia! Zilikuwepo hadi 1966 wakati tulipoanzisha benk yetu na kuanza kuchapisha hela zetu wenyewe
   
Loading...