Sensationalism kwenye Professional Presentations inakubalika? Ni swali tu...

Wanabodi,

Nalifuatilia presentation ya kamati ya pili, ya makinikia ya mchanga, kitu cha kwanza ku note ni, licha ya kuwa presentation is an art kama ilivyo the art of public speaking, presenter sio public speaker!. Kuwa Professor anaifundisha economics hakumfanyi kuwa presenter mzuri, the same applied mwandishi mzuri wa presentation anaweza asiwe the best kwenye presenration. Alipoanza alianza kama ama anaogopa, anatetemeka as if unsure au was ljust paying lip services kutimiza wajibu wa he who pays the piper may call the tune, so presenter was just dancing to the tunes of whoever call the shots kwa kusema kile aliyemlipa angependa kusikia!.

Nimenote lots of sensationalism kwenye presentation kwa presenter kuonyesha kushangaa kuwa ni ajabu, ni Tanzania peeked! ,kusema jambo la ajabu kabisa! ,etc.

Nijuavyo mimi Professional Presentation zinatawaliwa na specific ethics kwa ku present the facts only, opinions of the presenter should be kept aside kwa sababu maoni ya presenter is not part of the presentation.

Hivyo it's wrong kwa mwasilishaji ripoti kuongezea vijineno neno vyenye negativity huku akionyesha kushangaa shangaa kama vineno "only in Tanzania!" or kwa vile ni professional presentation done to the politicians hivyo sensationalism inaruhusiwa to add more flavor for political capitalisation to impress the boss?.

Hii ni kama ilivyo kwa media ethics opinions of a news reporter is not part of the news story. Tunasisitizwa keep your opinions to yourself, kazi ya reporters ni ku present facts only, then mwache receive ndio atoe opinions na sio presenter.

We just need hard facts only halafu opinion waachie wanaopokea taarifa. Tuache sensationalism kwenye professional presentations unless ni lecturing un ad lib ili ku draw more attention?.

Kwa maoni yangu, nilitegemea hii kamati ya pili ingekuja na vitu more concrete, more solid kuhusu bei ya soko ya tani moja au kontena moja la makinikia.

Kama ripoti yetu yenyewe ndio hii ya wasomi wetu ndio hawa, then Tanzania we still a long way to go kwa sababu hapa tulipo, bado we have a very serious problem!, hivyo huko tunakokwenda kwenye uchumi wa gesI hali itakuwaje?. Kama tumeshindwa kuestablish kitu kidogo tuu kama Acacia wanaingiza kiasi gani kwa mchanga wetu, tutawezaje kukokotoa by products zote za huo mchanga?. Nchi zote Acacia inakopeleka kuuchenjua huo mchanga wetu tunazijua na tuna balozi zetu, tumeshindwa nini kuuliza bei ya mchanga, bei ya by products etc, kama tumeshindwa kujua bei ya tani ya mchanga inauzwa bei gani sokoni, kwa lidubwana kubwa contena lenye kitu solid easy to quantity, what about gesi ambayo ni hewa na inaweza kuwa siphoned huko huko underground kwa kutumia submarine pipes, tunauwezo gani kujua?.

Acacia ni listed company kwenye masoko yards his ya LSE na DSE na biashara yake yote ni hii migodi mitatu tuu ya Tanzania, hivyo financial statements zake ni public document. Hao wachumi waliobobea kwenye uchumi wameshindwa nini kutupatia economic analysis ya kinachopatikana kwenye huo mchanga?.

Excuse kuwa hata Acacia hajui bei kwa sababu mauzo hufanyikia South Africa ni lame excuses kwa sababu the end product ya biashara yote ya Acacia huishia kwenye financial statement yao, wameshindwa nini kutokokotolea faida wanayopata tukapiga hesabu ya 4% halali yetu tukawadai? .

Hii ya kuja na ma figure ya matrilioni ya mihela kuwa ndio tunaibiwa ni hoodwinking Watanzania kudhani tumeibiwa hayo matrilioni yote kumbe halali yetu ni just 4% ya matrilioni hayo!

Kama ripoti ya pili ime collaborate ripoti ya kwanza ambayo sio uchunguzi sio scientific bali just a composition, then ripoti ya pili have the same weaknesses za ripoti ya kwanza.

Uchunguzi unaoonyesha composition ya madini kwenye mchanga sio conclusive evidence kuwa kila kilichomo ni extractable na kinachopatikana usually is less than kilichopo kwenye vipimo. major

A Way Forward.
A way forward ambayo ni fair kwa both parties sisi wenye mali na mwizi wetu, ni kwa mwizi wetu Acacia to come clean
Openly, truthfully with maximum transparency and full disclosure of all its financial transactions zinazohusiana na mchanga wetu, inapata nini kwenye kila tani ya mchanga through financial transactions.

Then haya makontena 277 yatumike kama confirmation sampling tuyasimamie yachenjuliwe watu wetu na watu wa mwizi wetu wakishuhudia ili tuthibitishe kilichopatikana, tupigiane hesabu, biashara iendelee.

Paskali

Pascal naunga mkono hoja. Ripoti ya kwanza ilipotoka ilituhumu wizi kwa kudanganya kiasi cha madini kilichomo kwenye mchanga. Nikahisi kama kweli kuna wizi basi utakuwa unafanywa na management ya Acacia bila wanahisa, masoko ya hisa (LSE na DSE) pamoja na Capital Markets Security Agency (ambao ni wakala wa serikali) kufahamu. Hii ni kwa sababu kama ulivyosema, taarifa zote za biashara ya Acacia ni lazima zifahamike kwenye hizi taasisi pamoja na kwa wanahisa. Hii ni kwa mujibu wa sheria ili kulinda maslahi ya wanahisa.

Nilitarajia ripoti ya pili yenye wachumi na wanasheria wanaofahamu kwa kina namna masoko ya hisa yananvofanya kazi itengue hiki kitendawili na pia itueleze madhaifu ya kampuni ya audit inayofanya hesabu za Acacia. Hii ingetupa mwanga jinsi wizi wa Acacia unavyofanya kazi kama namna ya kuthibitisha kuwepo kwa wizi wenyewe.

Lakini hata hivyo huenda hadidu rejea ilizopewa tume ziliwafunga katika kuchambua tu matokeo ya tume ya kwanza na kutoa mapendekezo yenye mwelekeo wa kisiasa. Vingenevyo ilipaswa kuundwa tume moja tu yenye wataalam wa fani zote.

Hii inanikumbusha 'reaction' ya Rais Ben Mkapa baada ya kupokea ripoti ya tume ya Jaji Kissanga kuhusiana na matatizo ya muungano mwaka 1998. Mkapa alifoka na kusema tume ilifanya mambo ambayo haikutumwa. Hii ilikuwa ni baada ya Mkapa kutokufurahishwa na mapendekezo ya tume (hata kama hilo ndilo lilipaswa kuwa hitimisho la kimantiki baada ya uchunguzi na uchambuzi). Inavyoelekea Jaji Kissanga alikomaa na kuweka taaluma yake mbele. Alikataa kurubuniwa kisiasa!

Kinachonishangaza this time around ni kwamba kumbe "the lawyer can easily be manipulated by the layman for transient political goals"!
 
Paskali,, yaani sisi watanzania sijui kwa nini ndani ya hii awamu tumezidi kuwa majinga kiasi hiki aiseee!! Eti professor,, linasoma taarifa kwanza huku linatetemeka utafikri limetoka kwenye kiroba!! Hovyo kabisa,, wasomi wa Tanzania ni hewa bora tubaki kama taifa lisilokuwa na wasomi haki ya nani!!
Aisee ni ukweli kabisa watanzania ni wajinga lakini awamu hii wamezidi kuwa wajinga. Huyu jamaa sijui kawaroga au vipi?
 
Prof lizima linaleta ripoti ya chekechea! Ulishaona wapi mahesabu yanapigwa jumla jumla tu eti hata makontena yaliyosafirishwa miaka ya 90 nayo yanapigiwa hesabu za leo! eti tumeibiwa trillion 100,, ujinga mtu!! Halafu watu nao wanakubali vitu vya kijinga namna hii??
 
Wanabodi, Paskali
Leo nyingine tena, na hazitaisha, maana hata wale kwenye ripoti zilizopita na zinazokuja watakuwepo wachafu...
Hii nchi kweli ilikuwa imeoza kabisa kabisa, na haya yote yalikuwa yakisemwa, bungeni wale wa CCM walikuwa kama vipofu, leo yanaibuka haya eti wanashangaa?!
Ukitetea uovu na baadaye ukaanza kusema tulikuwa hatujuwi au hatukusoma makabrasha au ripoti ni UZUZU usio kifani..
Kila senti unayoiba serikalini, lazima kuna raia anakosa huo mtiririko, tuelewe hilo...
Na ndiyo maana China wanakumaliza tu, hakuna mabishano wala upuuzi kama wa kwetu..
 
Wanabodi,

Nalifuatilia presentation ya kamati ya pili, ya makinikia ya mchanga, kitu cha kwanza ku note ni, licha ya kuwa presentation is an art kama ilivyo the art of public speaking, presenter sio public speaker!. Kuwa Professor mzuri anaeifundisha economics darasani na kwenye lecture theater, hakumfanyi kuwa presenter mzuri kwenye general public.

The same applies kwa mwandishi mzuri wa presentation anaweza asiwe the best kwenye presentation. Muwasilisha mada alianza kama ama anaogopa, anatetemeka as if yuko very unsure na anachowasilisha, as if he was just paying lip services kutimiza wajibu wake kwa the one he who pays the piper may call the tune, so presenter was just dancing to the tunes of whoever call the shots kwa kusema kile aliyemtuma na aliyemlipa angependa kusikia!.

Nimenote lots of sensationalism kwenye presentation kwa presenter kuonyesha kushangaa kuwa ni ajabu, ni Tanzania peeke! ,kusema jambo la ajabu kabisa! ,etc, haya sio maneno ya professional presenter ni maneno ya sensationalist presenter.

Nijuavyo mimi Professional Presentation zinatawaliwa na specific ethics kwa presenter ku present the facts only, opinions of the presenter should be kept aside kwa sababu maoni ya presenter is not part of the presentation.

Hivyo it's wrong kwa mwasilishaji ripoti kuongezea vijineno neno vyenye negativity huku akionyesha kushangaa shangaa kama vineno "only in Tanzania!" au kwa vile ni professional presentation done to the politicians hivyo sensationalism inaruhusiwa to add more flavor for political capitalization to impress the boss?!.

Hii ni kama ilivyo kwa media ethics opinions of a news reporter is not part of the news story. Tunasisitizwa keep your opinions to yourself, kazi ya reporters ni ku present facts only, then mwache receive ndio atoe opinions na sio presenter.

We just need hard facts only kuhusu makinikia, halafu opinion waachie wanaopokea taarifa. Tuache sensationalism kwenye professional presentations unless ni lecturing ad lib ili ku draw more attention!.

Kwa maoni yangu, nilitegemea hii kamati ya pili ingekuja na vitu solid, more concrete, kuhusu bei ya soko ya tani moja au kontena moja la makinikia.

Kama ripoti yetu yenyewe ndio hii ya wasomi wetu ndio hawa, then Tanzania we still have a long way to go kwa sababu hapa tulipo, bado we have a very serious problem!, hivyo huko tunakokwenda kwenye uchumi wa gesi hali itakuwaje?. Kama tumeshindwa kuestablish kitu kidogo tuu kama Acacia wanaingiza kiasi gani kwa mchanga wetu, tutawezaje kukokotoa by products zote za huo mchanga?. Nchi zote Acacia inakopeleka kuuchenjua huo mchanga wetu tunazijua na tuna balozi zetu, tumeshindwa nini kuuliza bei ya mchanga, bei ya by products etc, kama tumeshindwa kujua bei ya tani ya mchanga inauzwa bei gani sokoni, kwa lidubwana kubwa contena lenye kitu solid easy to quantify, what about gesi ambayo ni hewa na inaweza kuwa siphoned huko huko underground kwa kutumia submarine pipes, tunauwezo gani kujua?.

Acacia ni listed company kwenye masoko ya hisa ya LSE na DSE na biashara yake yote ni hii migodi mitatu tuu ya Tanzania, hivyo financial statements zake ni public document. Hao wachumi wetu waliobobea kwenye uchumi wameshindwa nini kutupatia economic analysis ya kinachopatikana kwenye huo mchanga?.

Excuse kuwa hata Acacia hajui bei kwa sababu mauzo hufanyikia South Africa ni lame excuses kwa sababu the end product ya biashara yote ya Acacia huishia kwenye financial statement yao, wameshindwa nini kutukokotolea faida wanayopata tukapiga hesabu ya 4% halali yetu tukawadai? .

Hii ya kuja na ma figure ya matrilioni ya mihela kuwa ndio tunaibiwa ni hoodwinking Watanzania kwa kuwatia hamasa ya uongo kudhani tumeibiwa hayo matrilioni yote hivyo kujenga too great expectations kuwa maadam tumshika mwishi wetu, hivyo sasa atatulipa matrilioni, kumbe ni uongo mtupu, kwa sababu halali yetu ni just 4% ya matrilioni hayo!.

Kama ripoti ya pili ime collaborate ripoti ya kwanza ambayo tuliibonda humu kuwa sio uchunguzi sio scientific bali just a composition, then ripoti ya pili have the same weaknesses za ripoti ya kwanza, matokeo, tusitegemee kupata kitu chochote cha maana mbele ya safari!. Utawezaji kudai kitu ambacho wewe mwenyewe umeshindwa ku quantify gharama halisi za ulichoibiwa?.

Uchunguzi wa hizi ripoti mbili umeonyesha composition ya madini kwenye mchanga sio conclusive evidence kuwa kila kilichomo ni extractable na kinachopatikana usually is less than kilichopo kwenye vipimo, viongozi wetu wanatoaje matumaini ya mihela hii kibao wakati hata hatuna uhakika wa kilichomo?.

A Way Forward.
A way forward ambayo ni fair kwa both parties sisi wenye mali na mtuhumiwa mwizi wetu, Acacia to come clean, openly, truthfully with maximum transparency and full disclosure of all its financial transactions zinazohusiana na mchanga wetu, Acacia inapata nini kwenye kila tani ya mchanga through financial transactions.

Then haya makontena 277 yatumike kama confirmation sampling tuyasimamie yachenjuliwe watu wetu na watu wa mtuhumiwa mwizi wetu Acacia wakishuhudia ili tuthibitishe kilichopatikana, tupigiane hesabu, biashara iendelee.

Paskali

Pascal , kuna wakati nakupenda! Ila uache kuangalia upepo mkuu..mara Lowasa, mara Magufuli mara sijui nini? 🙂😀
Hebu jikite kwenye uchambuzi kama huu!!
 
nimetone muendelezo wa kuhamanika, baada ya jutangaziwa tutavuna dola milioni 300, watu wamehamanika sana na kuanza kupongeza, sisi tunaojiuliza, the motive behind, tunajiuliza hizo dola milioni 300 ni za nini?.

Mkuu ukiwa realist, unakuwa dynamic na sio static, Lowassa alikuwa na Enzi yake, Magufuli pia anayo yake, na akimaliza anakuja Makonda. Ukiwa mjweli, utaegemea kwenye ukweli, kuna siku Magufuli anaboronga, tunamkosoa, siku akifanya mazuri, tunampongeza!. Hata CCM ina mema yake tunaipongeza, lakini pia kwa kutufikisha hapa ilipotufikisha tunailaani, hivyo watu wa uelewa wa kawaida, wanataka ukiilaani, ni laana tuu, gata kama kuna hema, huwezi kupongeza, ukweli halisi ni kusimama kwenye kweli, kwenye mazuri napongeza, kwenye mabaya nakosoa.

[emoji1] naona umeshamtabilia mh Makonda. Anyway nimependa analysis yako mkuu.
 
nimetone muendelezo wa kuhamanika, baada ya jutangaziwa tutavuna dola milioni 300, watu wamehamanika sana na kuanza kupongeza, sisi tunaojiuliza, the motive behind, tunajiuliza hizo dola milioni 300 ni za nini?.

Paskali
Kuna mahali nimeuliza..... this looks too good to be true. What's the catch!? Ile mode kaamua kuunganisha uzi wangu!!

Bado nasisitiza kama ni kweli haya yote yanayoendelea..... What's the catch!!?
 
Wanabodi,

Nalifuatilia presentation ya kamati ya pili, ya makinikia ya mchanga, kitu cha kwanza ku note ni, licha ya kuwa presentation is an art kama ilivyo the art of public speaking, presenter sio public speaker!. Kuwa Professor mzuri anaeifundisha economics darasani na kwenye lecture theater, hakumfanyi kuwa presenter mzuri kwenye general public.

The same applies kwa mwandishi mzuri wa presentation anaweza asiwe the best kwenye presentation. Muwasilisha mada alianza kama ama anaogopa, anatetemeka as if yuko very unsure na anachowasilisha, as if he was just paying lip services kutimiza wajibu wake kwa the one he who pays the piper may call the tune, so presenter was just dancing to the tunes of whoever call the shots kwa kusema kile aliyemtuma na aliyemlipa angependa kusikia!.

Nimenote lots of sensationalism kwenye presentation kwa presenter kuonyesha kushangaa kuwa ni ajabu, ni Tanzania peeke! ,kusema jambo la ajabu kabisa! ,etc, haya sio maneno ya professional presenter ni maneno ya sensationalist presenter.

Nijuavyo mimi Professional Presentation zinatawaliwa na specific ethics kwa presenter ku present the facts only, opinions of the presenter should be kept aside kwa sababu maoni ya presenter is not part of the presentation.

Hivyo it's wrong kwa mwasilishaji ripoti kuongezea vijineno neno vyenye negativity huku akionyesha kushangaa shangaa kama vineno "only in Tanzania!" au kwa vile ni professional presentation done to the politicians hivyo sensationalism inaruhusiwa to add more flavor for political capitalization to impress the boss?!.

Hii ni kama ilivyo kwa media ethics opinions of a news reporter is not part of the news story. Tunasisitizwa keep your opinions to yourself, kazi ya reporters ni ku present facts only, then mwache receive ndio atoe opinions na sio presenter.

We just need hard facts only kuhusu makinikia, halafu opinion waachie wanaopokea taarifa. Tuache sensationalism kwenye professional presentations unless ni lecturing ad lib ili ku draw more attention!.

Kwa maoni yangu, nilitegemea hii kamati ya pili ingekuja na vitu solid, more concrete, kuhusu bei ya soko ya tani moja au kontena moja la makinikia.

Kama ripoti yetu yenyewe ndio hii ya wasomi wetu ndio hawa, then Tanzania we still have a long way to go kwa sababu hapa tulipo, bado we have a very serious problem!, hivyo huko tunakokwenda kwenye uchumi wa gesi hali itakuwaje?. Kama tumeshindwa kuestablish kitu kidogo tuu kama Acacia wanaingiza kiasi gani kwa mchanga wetu, tutawezaje kukokotoa by products zote za huo mchanga?. Nchi zote Acacia inakopeleka kuuchenjua huo mchanga wetu tunazijua na tuna balozi zetu, tumeshindwa nini kuuliza bei ya mchanga, bei ya by products etc, kama tumeshindwa kujua bei ya tani ya mchanga inauzwa bei gani sokoni, kwa lidubwana kubwa contena lenye kitu solid easy to quantify, what about gesi ambayo ni hewa na inaweza kuwa siphoned huko huko underground kwa kutumia submarine pipes, tunauwezo gani kujua?.

Acacia ni listed company kwenye masoko ya hisa ya LSE na DSE na biashara yake yote ni hii migodi mitatu tuu ya Tanzania, hivyo financial statements zake ni public document. Hao wachumi wetu waliobobea kwenye uchumi wameshindwa nini kutupatia economic analysis ya kinachopatikana kwenye huo mchanga?.

Excuse kuwa hata Acacia hajui bei kwa sababu mauzo hufanyikia South Africa ni lame excuses kwa sababu the end product ya biashara yote ya Acacia huishia kwenye financial statement yao, wameshindwa nini kutukokotolea faida wanayopata tukapiga hesabu ya 4% halali yetu tukawadai? .

Hii ya kuja na ma figure ya matrilioni ya mihela kuwa ndio tunaibiwa ni hoodwinking Watanzania kwa kuwatia hamasa ya uongo kudhani tumeibiwa hayo matrilioni yote hivyo kujenga too great expectations kuwa maadam tumshika mwishi wetu, hivyo sasa atatulipa matrilioni, kumbe ni uongo mtupu, kwa sababu halali yetu ni just 4% ya matrilioni hayo!.

Kama ripoti ya pili ime collaborate ripoti ya kwanza ambayo tuliibonda humu kuwa sio uchunguzi sio scientific bali just a composition, then ripoti ya pili have the same weaknesses za ripoti ya kwanza, matokeo, tusitegemee kupata kitu chochote cha maana mbele ya safari!. Utawezaji kudai kitu ambacho wewe mwenyewe umeshindwa ku quantify gharama halisi za ulichoibiwa?.

Uchunguzi wa hizi ripoti mbili umeonyesha composition ya madini kwenye mchanga sio conclusive evidence kuwa kila kilichomo ni extractable na kinachopatikana usually is less than kilichopo kwenye vipimo, viongozi wetu wanatoaje matumaini ya mihela hii kibao wakati hata hatuna uhakika wa kilichomo?.

A Way Forward.
A way forward ambayo ni fair kwa both parties sisi wenye mali na mtuhumiwa mwizi wetu, Acacia to come clean, openly, truthfully with maximum transparency and full disclosure of all its financial transactions zinazohusiana na mchanga wetu, Acacia inapata nini kwenye kila tani ya mchanga through financial transactions.

Then haya makontena 277 yatumike kama confirmation sampling tuyasimamie yachenjuliwe watu wetu na watu wa mtuhumiwa mwizi wetu Acacia wakishuhudia ili tuthibitishe kilichopatikana, tupigiane hesabu, biashara iendelee.

Paskali
Hata hivyo Dkt. Nchemba amesema, serikali ilikubali kupokea shilingi bilioni 700 kutoka Barrick baada ya makubaliano baina ya timu ya serikali iliyoundwa na Rais wa serikali ya awamu ya tano Hayati Dkt. John Magufuli kufikia makubaliano ya pande zote na Barrick kuhusiana na madai ya shilingi trilioni 360.
Kitu muhimu sana ni Watanzania have the right to information the basis ya kumsamehe mwizi wetu!.

Kama deni hilo ni bonafide genuine, serikali inapoamua kusamehe, it got to give reasons. Na baada ya hapo TRA watoe taarifa kuwa wamelifuta deni hilo.

Haya mambo akina sisi tuliyasema sana humu, kama mwanzo tulizuia makinikia kwasababu tulihisi tunaibiwa kwasababu hatujui kilichomo!.

Tukafanya uchunguzi tutathibitisha ni kweli tumeibiwa!. Tukapiga hesabu tulichoibiwa, baba mtu mbio kaja na ahadi wamekubali kila kitu na ili kuonyeshea nia njema wakahidi kishika uchumba cha Dila milioni 300!.

Mwisho wa mazungumzo tukasamehe deni lote, na kuruhusu makinikia yaondoke huku mpaka leo mpaka kesho, bado hatujui kilichomo!.

Kama tulizuia makinikia kwasababu tunaibiwa kwa kutojua kilichomo, tukathibitisha tunaibiwa!, Tumeruhusuje makinikia bila kujua kilichomo?, kwanini tulizuia?!

More explanation on this is needed.
P
 
Hayo ya official and professional presentation kugeuka kuwa political presentation hutokea pale mtoa ripoti anapokusudia kutaka kumfurahisha bwana mkubwa!!!

NI kama mchezo wa mpiga zumari...! Mpiga zumari mara zote focus yake itakuwa ni kumfurahisha aliyemlipa ili apige zumari!
Nikupe kazi ya kufuatilia wizi. Unakujaje kusema hakuna wizi. Siku zote lazima kamati ile na matokeo ya anaewatuma. Kamati zote!
Unafikiri kamati ya kuandaa harusi watasema "huyu mchumba hafai?
 
Wakati bunge linaonyehwa live uliwahi kufanya nini kwa nchi kama faida ya kuonyesha bunge live, kama sio kukaa unatizama bunge siku nzima ili ukalete ushabiki kwenye vijiwe na ubishani wa simba na yanga..bora walivyozuia ili muda huo ukafanye kazi ulishe ndugu zako!
Mattercal! Rais kuonyeshwa live wewe umefanya nini kwa nchi kama faida ya kumuonyesha rais live?
Rais anapoonyeshwa live hatuhitaji tena kufanya kazi?
 
Hayo ya official and professional presentation kugeuka kuwa political presentation hutokea pale mtoa ripoti anapokusudia kutaka kumfurahisha bwana mkubwa!!!

NI kama mchezo wa mpiga zumari...! Mpiga zumari mara zote focus yake itakuwa ni kumfurahisha aliyemlipa ili apige zumari!
Habari za uzima tele Mkuu. Kimya sana, Mkuu. Nondo zako hapa jukwaani ni muhimu kwetu. Katibu.
 
Mattercal! Rais kuonyeshwa live wewe umefanya nini kwa nchi kama faida ya kumuonyesha rais live?
Rais anapoonyeshwa live hatuhitaji tena kufanya kazi?
Sababu ya kutukana ni nini? Kama akili inafikiria kutukana kwanza kabla ya mengine yote ujue kichwani hauko sawa..deal na hilo kwanza ustaarabike.
 
Back
Top Bottom