Sensationalism kwenye Professional Presentations inakubalika? Ni swali tu...

Ni kujikomba tu, alivyokuwa anaonyesha hicho ulichokiita sensationalism, hawezi kusema ukweli, atamfurahisha Boss, eti Profesa, pathetic!
Pathetic indeed! propesa at 70 bado anahangaika na ajira ya serikali, no wonder presentation ilikuwa na mapungufu makubwa, sensationalism na kujikomba mbaya kabisa!
 
Wanabodi,

Nalifuatilia presentation ya kamati ya pili, ya makinikia ya mchanga, kitu cha kwanza ku note ni, licha ya kuwa presentation is an art kama ilivyo the art of public speaking, presenter sio public speaker!. Kuwa Professor anaifundisha economics hakumfanyi kuwa presenter mzuri, the same applied mwandishi mzuri wa presentation anaweza asiwe the best kwenye presenration. Alipoanza alianza kama ama anaogopa, anatetemeka as if unsure au was ljust paying lip services kutimiza wajibu wa he who pays the piper may call the tune, so presenter was just dancing to the tunes of whoever call the shots kwa kusema kile aliyemlipa angependa kusikia!.

Nimenote lots of sensationalism kwenye presentation kwa presenter kuonyesha kushangaa kuwa ni ajabu, ni Tanzania peeked! ,kusema jambo la ajabu kabisa! ,etc.

Nijuavyo mimi Professional Presentation zinatawaliwa na specific ethics kwa ku present the facts only, opinions of the presenter should be kept aside kwa sababu maoni ya presenter is not part of the presentation.

Hivyo it's wrong kwa mwasilishaji ripoti kuongezea vijineno neno vyenye negativity huku akionyesha kushangaa shangaa kama vineno "only in Tanzania!" or kwa vile ni professional presentation done to the politicians hivyo sensationalism inaruhusiwa to add more flavor for political capitalisation to impress the boss?.

Hii ni kama ilivyo kwa media ethics opinions of a news reporter is not part of the news story. Tunasisitizwa keep your opinions to yourself, kazi ya reporters ni ku present facts only, then mwache receive ndio atoe opinions na sio presenter.

We just need hard facts only halafu opinion waachie wanaopokea taarifa. Tuache sensationalism kwenye professional presentations unless ni lecturing un ad lib ili ku draw more attention?.

Kwa maoni yangu, nilitegemea hii kamati ya pili ingekuja na vitu more concrete, more solid kuhusu bei ya soko ya tani moja au kontena moja la makinikia.

Kama ripoti yetu yenyewe ndio hii ya wasomi wetu ndio hawa, then Tanzania we still a long way to go kwa sababu hapa tulipo, bado we have a very serious problem!, hivyo huko tunakokwenda kwenye uchumi wa gesI hali itakuwaje?. Kama tumeshindwa kuestablish kitu kidogo tuu kama Acacia wanaingiza kiasi gani kwa mchanga wetu, tutawezaje kukokotoa by products zote za huo mchanga?. Nchi zote Acacia inakopeleka kuuchenjua huo mchanga wetu tunazijua na tuna balozi zetu, tumeshindwa nini kuuliza bei ya mchanga, bei ya by products etc, kama tumeshindwa kujua bei ya tani ya mchanga inauzwa bei gani sokoni, kwa lidubwana kubwa contena lenye kitu solid easy to quantity, what about gesi ambayo ni hewa na inaweza kuwa siphoned huko huko underground kwa kutumia submarine pipes, tunauwezo gani kujua?.

Acacia ni listed company kwenye masoko yards his ya LSE na DSE na biashara yake yote ni hii migodi mitatu tuu ya Tanzania, hivyo financial statements zake ni public document. Hao wachumi waliobobea kwenye uchumi wameshindwa nini kutupatia economic analysis ya kinachopatikana kwenye huo mchanga?.

Excuse kuwa hata Acacia hajui bei kwa sababu mauzo hufanyikia South Africa ni lame excuses kwa sababu the end product ya biashara yote ya Acacia huishia kwenye financial statement yao, wameshindwa nini kutokokotolea faida wanayopata tukapiga hesabu ya 4% halali yetu tukawadai? .

Hii ya kuja na ma figure ya matrilioni ya mihela kuwa ndio tunaibiwa ni hoodwinking Watanzania kudhani tumeibiwa hayo matrilioni yote kumbe halali yetu ni just 4% ya matrilioni hayo!

Kama ripoti ya pili ime collaborate ripoti ya kwanza ambayo sio uchunguzi sio scientific bali just a composition, then ripoti ya pili have the same weaknesses za ripoti ya kwanza.

Uchunguzi unaoonyesha composition ya madini kwenye mchanga sio conclusive evidence kuwa kila kilichomo ni extractable na kinachopatikana usually is less than kilichopo kwenye vipimo. major

A Way Forward.
A way forward ambayo ni fair kwa both parties sisi wenye mali na mwizi wetu, ni kwa mwizi wetu Acacia to come clean
Openly, truthfully with maximum transparency and full disclosure of all its financial transactions zinazohusiana na mchanga wetu, inapata nini kwenye kila tani ya mchanga through financial transactions.

Then haya makontena 277 yatumike kama confirmation sampling tuyasimamie yachenjuliwe watu wetu na watu wa mwizi wetu wakishuhudia ili tuthibitishe kilichopatikana, tupigiane hesabu, biashara iendelee.

Paskali
Ahsante! Daima utaendelea kuwa Great thinker wa hili jukwaa.
 
Anasema mchanga unauzwa kabla hata ya kuchenjuliwa. Umeuzwa shilingi ngapi? Bei ya mauzo inaendana na estimate za ile kamati ya kwanza?
Wewe ni jinga kweli. Hukusikia hata aliposema kuwa arms-close business partners wa Acacia hununua na kulipa pesa ofisi za Acacia zilizoko South Afrika kiasi kwamba hapa nchini hakuna records za bei ya michanga hiyo ingawaje angalao majina ya makampuni 6 yanayonunua michanga yamepatikana na tarifa zake kurekodiwa. Kwa waliozaliwa sehemu ambapo hakuna samaki wala maziwa kisha wakati wa utoto wao wote wakinywa uji na/au kula ugali wa unga wa uliokobolewa na kuowekwa, vichwa vyao huwa havishiki haraka. Haidhuru wewe ni mmoja wao!
 
Paskali, ungeuliza kwanza watu wanaomjua Prof. Osoro (kwa maana ni mwalimu wao) wakujuze tabia yake. Yeye hivyo alivyoongea ndivya mabavyo huwa anaongea na hata lectures zake ziko hivyo. So there was nothing queer with his presentation today.
 
Huyu chapombe sijui JPM kamtoa wapi? Kama hawa ndio maprofessor, hakiyamungu bora musukuma aliyeishia la saba.
 
Eti pesa iliyoibwa inatosha kujenga reli ya SGR, na ambayo hatukuibiwa mbona hajasema imetumikaje?

Kapiga hesabu ya mauzo anasema ndio pesa tuliyoibiwa, nani kamwambia ni asali hiyo kuwa unalina unaanza kuchovya palepale.
 
Paskali,, yaani sisi watanzania sijui kwa nini ndani ya hii awamu tumezidi kuwa majinga kiasi hiki aiseee!! Eti professor,, linasoma taarifa kwanza huku linatetemeka utafikri limetoka kwenye kiroba!! Hovyo kabisa,, wasomi wa Tanzania ni hewa bora tubaki kama taifa lisilokuwa na wasomi haki ya nani!!
Kuongopa mbele ya umma siyo mchezo mwili haukubali
 
Paskali,, yaani sisi watanzania sijui kwa nini ndani ya hii awamu tumezidi kuwa majinga kiasi hiki aiseee!! Eti professor,, linasoma taarifa kwanza huku linatetemeka utafikri limetoka kwenye kiroba!! Hovyo kabisa,, wasomi wa Tanzania ni hewa bora tubaki kama taifa lisilokuwa na wasomi haki ya nani!!
Hivi alitetemeka?
 
Wanabodi,

Nalifuatilia presentation ya kamati ya pili, ya makinikia ya mchanga, kitu cha kwanza ku note ni, licha ya kuwa presentation is an art kama ilivyo the art of public speaking, presenter sio public speaker!. Kuwa Professor anaifundisha economics hakumfanyi kuwa presenter mzuri, the same applied mwandishi mzuri wa presentation anaweza asiwe the best kwenye presenration. Alipoanza alianza kama ama anaogopa, anatetemeka as if unsure au was ljust paying lip services kutimiza wajibu wa he who pays the piper may call the tune, so presenter was just dancing to the tunes of whoever call the shots kwa kusema kile aliyemlipa angependa kusikia!.

Nimenote lots of sensationalism kwenye presentation kwa presenter kuonyesha kushangaa kuwa ni ajabu, ni Tanzania peeked! ,kusema jambo la ajabu kabisa! ,etc.

Nijuavyo mimi Professional Presentation zinatawaliwa na specific ethics kwa ku present the facts only, opinions of the presenter should be kept aside kwa sababu maoni ya presenter is not part of the presentation.

Hivyo it's wrong kwa mwasilishaji ripoti kuongezea vijineno neno vyenye negativity huku akionyesha kushangaa shangaa kama vineno "only in Tanzania!" or kwa vile ni professional presentation done to the politicians hivyo sensationalism inaruhusiwa to add more flavor for political capitalisation to impress the boss?.

Hii ni kama ilivyo kwa media ethics opinions of a news reporter is not part of the news story. Tunasisitizwa keep your opinions to yourself, kazi ya reporters ni ku present facts only, then mwache receive ndio atoe opinions na sio presenter.

We just need hard facts only halafu opinion waachie wanaopokea taarifa. Tuache sensationalism kwenye professional presentations unless ni lecturing un ad lib ili ku draw more attention?.

Kwa maoni yangu, nilitegemea hii kamati ya pili ingekuja na vitu more concrete, more solid kuhusu bei ya soko ya tani moja au kontena moja la makinikia.

Kama ripoti yetu yenyewe ndio hii ya wasomi wetu ndio hawa, then Tanzania we still a long way to go kwa sababu hapa tulipo, bado we have a very serious problem!, hivyo huko tunakokwenda kwenye uchumi wa gesI hali itakuwaje?. Kama tumeshindwa kuestablish kitu kidogo tuu kama Acacia wanaingiza kiasi gani kwa mchanga wetu, tutawezaje kukokotoa by products zote za huo mchanga?. Nchi zote Acacia inakopeleka kuuchenjua huo mchanga wetu tunazijua na tuna balozi zetu, tumeshindwa nini kuuliza bei ya mchanga, bei ya by products etc, kama tumeshindwa kujua bei ya tani ya mchanga inauzwa bei gani sokoni, kwa lidubwana kubwa contena lenye kitu solid easy to quantity, what about gesi ambayo ni hewa na inaweza kuwa siphoned huko huko underground kwa kutumia submarine pipes, tunauwezo gani kujua?.

Acacia ni listed company kwenye masoko yards his ya LSE na DSE na biashara yake yote ni hii migodi mitatu tuu ya Tanzania, hivyo financial statements zake ni public document. Hao wachumi waliobobea kwenye uchumi wameshindwa nini kutupatia economic analysis ya kinachopatikana kwenye huo mchanga?.

Excuse kuwa hata Acacia hajui bei kwa sababu mauzo hufanyikia South Africa ni lame excuses kwa sababu the end product ya biashara yote ya Acacia huishia kwenye financial statement yao, wameshindwa nini kutokokotolea faida wanayopata tukapiga hesabu ya 4% halali yetu tukawadai? .

Hii ya kuja na ma figure ya matrilioni ya mihela kuwa ndio tunaibiwa ni hoodwinking Watanzania kudhani tumeibiwa hayo matrilioni yote kumbe halali yetu ni just 4% ya matrilioni hayo!

Kama ripoti ya pili ime collaborate ripoti ya kwanza ambayo sio uchunguzi sio scientific bali just a composition, then ripoti ya pili have the same weaknesses za ripoti ya kwanza.

Uchunguzi unaoonyesha composition ya madini kwenye mchanga sio conclusive evidence kuwa kila kilichomo ni extractable na kinachopatikana usually is less than kilichopo kwenye vipimo. major

A Way Forward.
A way forward ambayo ni fair kwa both parties sisi wenye mali na mwizi wetu, ni kwa mwizi wetu Acacia to come clean
Openly, truthfully with maximum transparency and full disclosure of all its financial transactions zinazohusiana na mchanga wetu, inapata nini kwenye kila tani ya mchanga through financial transactions.

Then haya makontena 277 yatumike kama confirmation sampling tuyasimamie yachenjuliwe watu wetu na watu wa mwizi wetu wakishuhudia ili tuthibitishe kilichopatikana, tupigiane hesabu, biashara iendelee.

Paskali
Umetisha mkuu ntakupa kamati usimamie utupe ripoti ya tatu ya makenika
 
Kama ripoti ya pili ime collaborate ripoti ya kwanza ambayo sio uchunguzi sio scientific bali just a composition, then ripoti ya pili have the same weaknesses za ripoti ya kwanza.
kwa mantiki hii iweje una jumuisha kwamba 1.Acacia ni mwizi na 2.Kwamba atoe ushahidi mwenyewe za uthibitisho kuwa sio mwizi
 
Kwa kweli ile ndio type ya maprofessor wetu wa kitanzania. Mzee kwenye presentation hawezi kabisa na tena amebobea kwenye Uchumi.
Wachumi wanahitajika kuwa effective presenters.
Elimu yetu bado haijengi wàtu wenye confidence.
 
Wewe ni jinga kweli. Hukusikia hata aliposema kuwa arms-close business partners wa Acacia hununua na kulipa pesa ofisi za Acacia zilizoko South Afrika kiasi kwamba hapa nchini hakuna records za bei ya michanga hiyo ingawaje angalao majina ya makampuni 6 yanayonunua michanga yamepatikana na tarifa zake kurekodiwa. Kwa waliozaliwa sehemu ambapo hakuna samaki wala maziwa kisha wakati wa utoto wao wote wakinywa uji na/au kula ugali wa unga wa uliokobolewa na kuowekwa, vichwa vyao huwa havishiki haraka. Haidhuru wewe ni mmoja wao!
Ni kweli ni "mjinga" ndio sababu nimeuliza. Nakushukuru pia uwezo wako mkubwa wa kujua nilipozaliwa na vyakula nilivyokula wakati nakua.

Pole pia kama maswali yangu yamekukera.
 
Wanabodi,

Nalifuatilia presentation ya kamati ya pili, ya makinikia ya mchanga, kitu cha kwanza ku note ni, licha ya kuwa presentation is an art kama ilivyo the art of public speaking, presenter sio public speaker!. Kuwa Professor anaifundisha economics hakumfanyi kuwa presenter mzuri, the same applied mwandishi mzuri wa presentation anaweza asiwe the best kwenye presenration. Alipoanza alianza kama ama anaogopa, anatetemeka as if unsure au was ljust paying lip services kutimiza wajibu wa he who pays the piper may call the tune, so presenter was just dancing to the tunes of whoever call the shots kwa kusema kile aliyemlipa angependa kusikia!.

Nimenote lots of sensationalism kwenye presentation kwa presenter kuonyesha kushangaa kuwa ni ajabu, ni Tanzania peeked! ,kusema jambo la ajabu kabisa! ,etc.

Nijuavyo mimi Professional Presentation zinatawaliwa na specific ethics kwa ku present the facts only, opinions of the presenter should be kept aside kwa sababu maoni ya presenter is not part of the presentation.

Hivyo it's wrong kwa mwasilishaji ripoti kuongezea vijineno neno vyenye negativity huku akionyesha kushangaa shangaa kama vineno "only in Tanzania!" or kwa vile ni professional presentation done to the politicians hivyo sensationalism inaruhusiwa to add more flavor for political capitalisation to impress the boss?.

Hii ni kama ilivyo kwa media ethics opinions of a news reporter is not part of the news story. Tunasisitizwa keep your opinions to yourself, kazi ya reporters ni ku present facts only, then mwache receive ndio atoe opinions na sio presenter.

We just need hard facts only halafu opinion waachie wanaopokea taarifa. Tuache sensationalism kwenye professional presentations unless ni lecturing un ad lib ili ku draw more attention?.

Kwa maoni yangu, nilitegemea hii kamati ya pili ingekuja na vitu more concrete, more solid kuhusu bei ya soko ya tani moja au kontena moja la makinikia.

Kama ripoti yetu yenyewe ndio hii ya wasomi wetu ndio hawa, then Tanzania we still a long way to go kwa sababu hapa tulipo, bado we have a very serious problem!, hivyo huko tunakokwenda kwenye uchumi wa gesI hali itakuwaje?. Kama tumeshindwa kuestablish kitu kidogo tuu kama Acacia wanaingiza kiasi gani kwa mchanga wetu, tutawezaje kukokotoa by products zote za huo mchanga?. Nchi zote Acacia inakopeleka kuuchenjua huo mchanga wetu tunazijua na tuna balozi zetu, tumeshindwa nini kuuliza bei ya mchanga, bei ya by products etc, kama tumeshindwa kujua bei ya tani ya mchanga inauzwa bei gani sokoni, kwa lidubwana kubwa contena lenye kitu solid easy to quantity, what about gesi ambayo ni hewa na inaweza kuwa siphoned huko huko underground kwa kutumia submarine pipes, tunauwezo gani kujua?.

Acacia ni listed company kwenye masoko yards his ya LSE na DSE na biashara yake yote ni hii migodi mitatu tuu ya Tanzania, hivyo financial statements zake ni public document. Hao wachumi waliobobea kwenye uchumi wameshindwa nini kutupatia economic analysis ya kinachopatikana kwenye huo mchanga?.

Excuse kuwa hata Acacia hajui bei kwa sababu mauzo hufanyikia South Africa ni lame excuses kwa sababu the end product ya biashara yote ya Acacia huishia kwenye financial statement yao, wameshindwa nini kutokokotolea faida wanayopata tukapiga hesabu ya 4% halali yetu tukawadai? .

Hii ya kuja na ma figure ya matrilioni ya mihela kuwa ndio tunaibiwa ni hoodwinking Watanzania kudhani tumeibiwa hayo matrilioni yote kumbe halali yetu ni just 4% ya matrilioni hayo!

Kama ripoti ya pili ime collaborate ripoti ya kwanza ambayo sio uchunguzi sio scientific bali just a composition, then ripoti ya pili have the same weaknesses za ripoti ya kwanza.

Uchunguzi unaoonyesha composition ya madini kwenye mchanga sio conclusive evidence kuwa kila kilichomo ni extractable na kinachopatikana usually is less than kilichopo kwenye vipimo. major

A Way Forward.
A way forward ambayo ni fair kwa both parties sisi wenye mali na mwizi wetu, ni kwa mwizi wetu Acacia to come clean
Openly, truthfully with maximum transparency and full disclosure of all its financial transactions zinazohusiana na mchanga wetu, inapata nini kwenye kila tani ya mchanga through financial transactions.

Then haya makontena 277 yatumike kama confirmation sampling tuyasimamie yachenjuliwe watu wetu na watu wa mwizi wetu wakishuhudia ili tuthibitishe kilichopatikana, tupigiane hesabu, biashara iendelee.

Paskali
Ungeandika lugha moja basi kama kiingereza tupu au kiswahili tu mkuu
 
Ni kweli ni "mjinga" ndio sababu nimeuliza. Nakushukuru pia uwezo wako mkubwa wa kujua nilipozaliwa na vyakula nilivyokula wakati nakua.

Pole pia kama maswali yangu yamekukera.
wewe ni miongoni mwa waungwana wachache hapa JF. Nime-withdraw kauli yangu ya awali kwa heshima yako.
 
Back
Top Bottom