wankuru nyankuru
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 495
- 776
Kama mtakavyokumbuka hivi karibuni nchi yetu ilifanya zoezi la sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022.
Zoezi lililoendeshwa nchi nzima, Sasa Kwa taarifa na uchunguzi nilioufanya ni kwamba vijana wa sensa naamanisha wakufunzi na baadhi ya wasimamizi wa makarani wametekwa na watoto wazuri wa kiiraq, watoto wenye nywele za kishombe shombe hivi.
Ila jamani karatu Kuna watoto wazuri isee na Arusha Kwa ujumla.
Yaani kwenye madarasa ya mafunzo Kwa makarani kilikuwa na pisi kaliiii za maana isee, Kila sehemu ya darasa ukitizama ni pisi Kali tu iseee.
Yaani sensa ya 2032 ifanye haraka itukutanishe tena hata kama tukiwa tumezeeka[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]