Ndg mtaalam, kw kuwa umejibainisha kuwa ni mtaalam wa takwimu, waweza kutufafanulia hiyo perfection unayozngmzia kwamba gharama zake hazikwepeki inathamani gani ukilinganisha na uwezo wetu? Historia inapinganaje na style tulotumia mwaka huu? Maswali tuloulizwa yanawiana vipi na hiyo perfection? Je hapakuwa na mbadala sahihi na cheap ktk zoezi hilo? Tumeambiwa zoezi litatumia 600bi+, nawe waweza kutuainishia na kuzi justfy hizo averages, kwamba haziwezi kwepeka kwa nchi ya uchumi wa kati kama yetu? Kwamba zoezi limefanyika in good faith?Je zina justify kilichoonekana kutendeka? Je hapakuwa na alternatives ktk kukamilisha zoezi? Kitakwimu, kuna idadi kubwa ya waTz wanaamini kuwa halikutakiwa kutumia fedha zote hizo na baadhi ni wanaojitokeza ktk mitandao kama hivi. Je takwimu zako hazisemi lolote kuh idadi ya wanaoponda zoezi hilo na gharama zake? Kwamba yale maswali hayaelekei kujibu shida zetu. Ukijibu tumia lugha laini na nyepesiKizuri (perfection) ni gharama! Kuna gharama huwezi kukwepa.