charminglady hee
orait orait....sasa ukimaliza sensa hii....naomba uweke na wale single wote....ili tujuwane.....tufahamiane......tuelewane......tuzungumze.....
umesikia....?
Kutokana na baadhi ya members kuwa na IDs ambazo ni unisex, naomba hapa uweke hapa jinsia yako ili hii tabia ya ku-approach mwanaume mwenzako ife. Nadhani members mtalielewa hili nami naanza kwa kusema mimi ni MWANAUME WA KIUMENI. Tupiamo jinsia yako
orait orait....sasa ukimaliza sensa hii....naomba uweke na wale single wote....ili tujuwane.....tufahamiane......tuelewane......tuzungumze.....
umesikia....?
Angalia watu wasije wakatoa wrong data kwenye sensa.
Hapo sasa Nicas Mtei ndipo nawaomba members wawe fair kusema jinsia zao za kweli. Mara wengine wanajiita wanawake rijali! Jamaniii khaa!
Huo ni mshangao au jinsia?
daddy mie mwanamke rijali!!!!!!
Huyu je nipeni jinsia yake....
Vukani - SHE