sensa: usiku wa leo utakua wapi?

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
hebu tuambiane...unategemea usiku huu KARANI wa sensa atakukuta wapi?

msikitini?...kanisani?...bar?...gest hausi? naiti clabu?...n.k! n.k!
 
Leo tuna kazi ya kuvunja msikiti hapa mwananyamala,kazi hii tutaifanya usiku mzima
 
Umeniwahi BAGAH nilitaka post kitu ka hii..

Leo ni J MOSI..
watu wana have FUN..
wamechoka na STRESS za wiki nzima...afu kesho anakuuu...

Niishie hapa.. Im barring NOW...

Serikali ilichemka... Wahesabuji waje na RED CROSS..
 
Last edited by a moderator:
Suppose unamchukua dem wa karani unaenda nae gest. Karani atakapokukuta na dem wake, atashughulikia fumanizi au sensa?
 
Nitakuwa home na familia. Kama una dodoso hebu attach hapa nianze kupasha namna nitakavyojibu maswali. Sensa kwa maendeleo ya Taifa
 
teheeee....
Bajabiri bana!

BAGAH,wacha niseme bhana,,,,,maana tuna mpango wa kuupanua msikiti wetu walau uwe na shule na zahanati,,,,,,sasa mchakato wa kuuvunja umeanza leo hiii jion na utaendelea usiku kucha,,,,,,hahahahahahaaa,,,,kesho tena unaendelea
 
Last edited by a moderator:
BAGAH,wacha niseme bhana,,,,,maana tuna mpango wa kuupanua msikiti wetu walau uwe na shule na zahanati,,,,,,sasa mchakato wa kuuvunja umeanza leo hiii jion na utaendelea usiku kucha,,,,,,hahahahahahaaa,,,,kesho tena unaendelea

aiseee!
naona tarehe za ukarabati zimegongana na tarehe za sensa!
hapo chacha...
hii inatokea tanzania tu!
 
Suppose unamchukua dem wa karani unaenda nae gest. Karani atakapokukuta na dem wake, atashughulikia fumanizi au sensa?

Wajad
hii imekaa kama movie...
it can happen dho!
 
Last edited by a moderator:
aiseee!
naona tarehe za ukarabati zimegongana na tarehe za sensa!
hapo chacha...
hii inatokea tanzania tu!

hahahahah,,,tena mchakato ilibidi uanze kesho,ila waumini leo ndio yuna ari ya kuvunja msikiti zoez litaendelea wiki tote ya SENSA
 
Umeniwahi BAGAH nilitaka post kitu ka hii..

Leo ni J MOSI..
watu wana have FUN..
wamechoka na STRESS za wiki nzima...afu kesho anakuuu...

Niishie hapa.. Im barring NOW...

Serikali ilichemka... Wahesabuji waje na RED CROSS..

RED CROSS...
nimeipenda hii...
u mean tutatoana manundu usiku huu...
khaaa!
hii inatokea tanzania tu data !
 
Last edited by a moderator:
hakuna anayekujua mdau,,,,utapataje????utapatajeeeee??????

Bajabiri nilijiona kweli mm zoba...
maana nakosa kazi kwenye makampuni makubwa...fine!
na ukarani wa sensa nao?...next to impossible!
lakini imetokea...
 
Last edited by a moderator:
hahahahah,,,tena mchakato ilibidi uanze kesho,ila waumini leo ndio yuna ari ya kuvunja msikiti zoez litaendelea wiki tote ya SENSA

euwiii...
sa Bajabiri mgao wa mahindi ya yanga nyie mtapata kweli?
maana idadi yenu haitakuwepo...LOL
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom