Sensa si jambo la siri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sensa si jambo la siri

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MTONILIST, Jul 24, 2012.

 1. MTONILIST

  MTONILIST Member

  #1
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Cha kushangaza viongozi wa halmashauri ya wilaya ya lushoto wanafanya sensa kuwa ni siri watu wanapeleka barua za kuomba ukarani wa sensa wanakataa kupokea eti hawajui wampelekee nani fomu hizo hivi sensa nayo ina siri? Na kwani mwenyekiti wa sensa wilaya ni nani? Nimegundua nasikia hawa jamaa wanatabia kazi kama hizi wanawaweka watu wao kutoka kwao hivyo namuomba mhusika wa sensa taifa afanye uchunguzi wa kina la sivyo kuna watu wameshapanga kama watafanya kama wanavyofanyaga ktk uchaguzi n.k mambo yatakuwa mabaya watu wanaendaga kwenye semina wanakutana na sura ambazo si za wilaya hii wakati kazi inatakiwa ifanywe na wazawa.mhusika fuatilia hili usilipuuze.ni mimi mpenda maendeleo.
   
Loading...