SENSA: Nini faida yake?

Kwa ambaye hajaenda shule, kamwe hatojua umuhimu wa sensa kwa shughuli za maendeleo... Sidhani kama mtu ataweza kufananisha na mwenge! Hii ni kuikosea nidham akili zenu wote mnaopinga sennsa eti kuwa haina issue.
 

",,"...hapo mzee lazima utakuwa na ufa katika ubongo.... Hili haliitaji kwenda shule, kwa umri wako huu huoni umuhimu wa sensa, ....oh sijajua level ya elimu yako, sorry!
 

Na acha uzuzu, ni ukweli kuwa sensa ya Tz haisaidii chochote, si kweli kwamba inatumika ktk supply and demand ya mahitaji ya jamii. Hebu jiulize ikiwa ni kigezo gani kinachotumika kumpatia director au mfano wake v8 ya kumtoa Osterbay hadi post na kumrudisha ilhali mama mjamzito wa namtumbo akiwekewa bajaj kumpeleka km 100+?
 
Kwa ambaye hajaenda shule, kamwe hatojua umuhimu wa sensa kwa shughuli za maendeleo... Sidhani kama mtu ataweza kufananisha na mwenge! Hii ni kuikosea nidham akili zenu wote mnaopinga sennsa eti kuwa haina issue.

Hakuna anayesema kuwa sensa siyo muhimu, wanasema 'sensa ya tanzania' ndo si muhimu. Binafsi naunga mkono kuwa si muhimu kwani sirikali hii haipangi mambo yake kutokana na 'fact' bali blah blah ya akina nape tu
 
Rahisi sana kujua idadi ya watu bila.kuwa na sensa rasmi. Kila serikali ya mtaa iwajibike kujua idadi ya watu wake kila baada ya miezi sita. NBS ifanye kazi na ofisi za serikali za mitaa kuhakikisha wanapata takwimu halisi kila mwaka.

Hivi NBS kazi zao za kila siku ni nini na wana ofisi kila mkoa? Je kazi kuu ni kuandaa sensa na kunyambua data za sensa kila baada ya miaka 10?
 
sensa inafaida kubwa katika history toka utawala wa wayahudi falme za falao huko misri au mfalme herode wingi wa watu ulijulikana kutokana na sensa so far maendeleo ya watu yananzia pale, mfano huko uk sensa ilionesha growth population inakuwa kwa rate fulani na wakafanya estimation kuwa sensa tano zimeonesha ni rate furani wakajua baada ya miaka 60 watu watashindwa kutembea kwa barabara zetu wakajenga njia za chini na juu pia kuweka tren ziendazo kasi bado wakaenda zaidi kuwa magari ya kilo furani yatatumia njia ile na hiyo .haya ni mazao ya sensa LAKINI KWA TANZANIA TULIO VILAZA HATUTA TUMIA MAZAO YA SENSA KWA ASILIMIA 100 NDIPO UNAPOSEMA SENSA HAINA FAIDA.Hii ni mtu sio sensa kama ilivyo hata ww think out of the box before posing the threat,kwamba challengies ,merit and demerit of your qns,
 
Huwezi kuwa sahihi kuliko ulivyo sema mkuu. Kwa serikali hii ya KJM, Sensa hii ni aina nyingine tu ya ufisadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…