Sensa 2012: Yanayojiri

Mie najiandaa kubandika bango langu la "Nyumba hii ni ya waislam hatuhesabiwi" ili huyo kalani wenu asijisumbue kufika hata uwani kwangu.

Hivi kiburi/kutotii maagizo halali ni sehemu yetu ktk imani? lakini ni kweli uislam unatamka kitu juu ya kupata takwimu? au kuna uhusiano wa aibu inayotokana na kutokuwa na uzazi wa mpango?
 
​akili ndogo kuongoza akili kubwa kikwete ni akili ndogo kama nape lowasa msomi na mwenye busara alimuona dogo huyu kuwa ana uchu wa madaraka tu hana jipya analete siasa za babake za kucheza ngoma kuimarisha chama ccm kwisha kazi huu ni mtaji mzuri kwa chadema jamani.
 
You worship Mohammed, and you call yourself a moslem. To me you sound the most stupid idiot for denying census,... lol, ignorance is the best enemy.

Inawezakana hutaki kuelewa hilo sio kosa lako ndivyo ulivyo fundishwa. Ilikupima uelewa wako hebu jibu hili swali la kihesabu.

SWALI. 1+1+1 = ?

(a) 4
(b) 3
(c) 1
 

Pepo ya Mabwege, nendeni mkawaulize kina Ramadhani Dau, Idrisa Rashid na Said Salim Bakhresa kama mafanikio yao yanatokana na wao kuwa Waislamu au Hard work & Determination?
 
Yame wauma eehe! Poleni sana. Kesho andikeni front page za magazeti yote na tangazeni kwenye tv zote, na muwaite waislamu wenu poa wa bakwata kua zoezi limeenda vizuri. Yaani hata akili hamna. Mfanye sensa muhesabu majumba ya ibada, lakini marufuku kujua idadi ya waumini wa majumba hayo. Hivi nyinyi mataahira au? What is the logic here? Kadanganyeni hao 1+1+1 = 1.
 
Namsaidia jibu lake ni 111=1+1+1=111


Inawezakana hutaki kuelewa hilo sio kosa lako ndivyo ulivyo fundishwa. Ilikupima uelewa wako hebu jibu hili swali la kihesabu.

SWALI. 1+1+1 = ?

(a) 4
(b) 3
(c) 1
 
pepo ya mabwege, nendeni mkawaulize kina ramadhani dau, idrisa rashid na said salim bakhresa kama mafanikio yao yanatokana na wao kuwa waislamu au hard work & determination?

hapa mmebakiwa na matusi tu. Mtatukana sana lakini message ndio hiyo. Hakuna sensa kama hii duniani.
 
leo nimefurahi kanisani mchungaji kasema tuwaombee wenzetu wa mlengo wa pili,tuwapende na tuwasaidie, tusiwadharau kwa sababu HAWANA ELIMU.

Alafu mkapiga magoti mbele ya kinyago cha mzungu..ambacho kinamuonesha anakufa with helpless death ati ndio! Mungu.. hahahaha! Wenye elimu bana!
 

Imekuuma ehh! I hope it still hurts .. huyu mwenzenu aliponikejeli tunaongozwa na kiongozi kipofu we ulitegemea nikae kimya! ...

Tupo kwenye sensa issue ya dimond tunatoka nje ya mada
 
Last edited by a moderator:
hapa mmebakiwa na matusi tu. Mtatukana sana lakini message ndio hiyo. Hakuna sensa kama hii duniani.
Matusi, yapo wapi hapo? 10+ University vs 1University unadhani hapo akili zinafanana kweli? Al qaeda wanafanya usaili nenda kajiandishe ukajilipuwe uende peponi kukutana na Osama akupunguzie mabikira katika wale mabikira 100.
 
You worship Mohammed, and you call yourself a moslem. To me you sound the most stupid idiot for denying census,... lol, ignorance is the best enemy.

Ahaaa! I THINK YOU BELONG THIS GROUP OF MOKIWA + MTIKILA. sio kosa lako. Take care anyway.
 
Mambo mengine ni maudhi matupu!!! just imagine the predicament of these poor travelers.
 
Mbona mjadala wa hapa unaharibiwa tena.....?
 
Pepo ya Mabwege, nendeni mkawaulize kina Ramadhani Dau, Idrisa Rashid na Said Salim Bakhresa kama mafanikio yao yanatokana na wao kuwa Waislamu au Hard work & Determination?

Matola, nadhani upo kwenye kundi hili la kina MOKIWA + MTIKILA. I THINK THAT IS THE REASON. POLE KAKA WE ARE NOT LIKE YOU.

 
kitendo cha waislamu kugomea sensa ni rais wa tz ndiye wa kulaumiwa sababu sheikh ponda ni muumini mwenzake rais na anashindwa kuwachukulia hatua kama alivyofanya kwa mgomo wa madaktari na walimu huu ni uzembe na udhaifu wa kikkwete kama rais anaweka dini mbele kuliko taifa anaamini katika hilo ushahidi upo mwingi.na kama taifa hili litaingia kwenye vita ya kidini kiongozi atakayebeba mzogo huu ni jakaya kikwete.kama angelikuwa ni mchungaji mtikila kasema wakristo wasusie sensa basi manyang'au wa usalama wa taifa na polisi wangeshamuweka ndani mtikila sasa kikwete acha udini na ongoza taifa kwa misingi ya uongozi na si vinginevyo ubaguzi wa kidini utazikwa nao hata ukienda kaburini maan wewe ndie muanzilishi n​a unaendekeza.
 
matusi, yapo wapi hapo? 10+ university vs 1university unadhani hapo akili zinafanana kweli? Al qaeda wanafanya usaili nenda kajiandishe ukajilipuwe uende peponi kukutana na osama akupunguzie mabikira katika wale mabikira 100.

Chini ya NECTA, you just needed one university. But any way. Just answer this simple questions. Because all eleven universities can be just buildings.

Swali. 1+1+1 = ?


 
alafu mkapiga magoti mbele ya kinyago cha mzungu..ambacho kinamuonesha anakufa with helpless death ati ndio! Mungu.. Hahahaha! Wenye elimu bana!

kaka njiwa hawa ndio wasomi wetu. Wanaingia mikataba kama wamelewa. Rasilimali za nchi zote wameziuza. very funny guys.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…