Senior member

A-town inatakiwa ujitahidi kuchangia mara
nyingi kwa kutuma post katika mijadala mbali
mbali, na hata pia kufungua Thread na kuendesha
huo mjadala... Ukiamua leo hii ukae hapa jamvini
kwa kujituma the whole day.... Leo hii waweza kua
senior member...

Atapita hapa member yeyote hasa Ndetichia akuambie
post ngapi sawa na status fulani mana zina idadi yake.
 
Vipi ARUSHA wazima??? ukishapata jibu ulizia ukitaka kuwa expert inakuwaje.
 
A-town inatakiwa ujitahidi kuchangia mara
nyingi kwa kutuma post katika mijadala mbali
mbali, na hata pia kufungua Thread na kuendesha
huo mjadala... Ukiamua leo hii ukae hapa jamvini
kwa kujituma the whole day.... Leo hii waweza kua
senior member...

Atapita hapa member yeyote hasa Ndetichia akuambie
post ngapi sawa na status fulani mana zina idadi yake.

Je kuwa premium member inakuwaje?
 
A-town inatakiwa ujitahidi kuchangia maranyingi kwa kutuma post katika mijadala mbalimbali, na hata pia kufungua Thread na kuendeshahuo mjadala... Ukiamua leo hii ukae hapa jamvinikwa kujituma the whole day.... Leo hii waweza kuasenior member...Atapita hapa member yeyote hasa Ndetichia akuambiepost ngapi sawa na status fulani mana zina idadi yake.
ahsante mamyy umesomeka!!
 
Je kuwa premium member inakuwaje?

Kuwa Premium Member unatoa chochote ulichonacho (pesa) kuchangia mfuko wa kuendesha JF... Jinsi ya malipo wasiliana na Invisible kwa kumtumia PM. Ni rahisi unaomba njia ambayo ni convienient kwako i.e bank, e-money (kama M-pesa) etc.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom