Sengondo Mvungi. Ofisa wa Mahakama!!!!!

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,358
6,422
Dr. Seng'ondo Mvungi, nimekusikia ukijinadi kuwa wewe ni ofisa wa mahakama, ukitaka kuonyesha ukomavu wa sheria. Kweli wewe ni mwanazuoni wa sheria, lakini naomba nikukumbushe kuwa Mwanasheria mkuu wa serikali Jaji Werema, kuna baadhi ya hukumu zake zimetenguliwa na Appeal court of Tanzania. Hivyo na ugwiji wako unaweza ukatoa maamuzi yasiyo sahihi.
 
Kuwa ofisa wa Mahakama hakumaanishi kubobea sana kwenye sheria,alichokuwa anamaanishi ni kuwa yeye ana vast experience on law fraternity,hili halipingiki.Huyu jamaa amebobea kwenye sheria tutake tusitake!
 
Nakubali kama nilivyosema, ni mwanazuoni mkubwa tu, binafsi namwamini sana, lakini haimuondoleii uwezekano wa kutoa maamuzi ya kisheria yasiyo sahihi, hivyo la kafulila asitake kuwa kama authority!!!
 
mwambie akasome code of conduct for judicial officers-tz. Who is a Judicial officer??? Alafu arejee matamshi yake. By then c yeye ni wasiwasi ndo'ilikua imemtanda.
 
Back
Top Bottom