swagazetu
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 4,089
- 2,000
ili mwalimu apate kitambulisho cha kazi anaambiwa alipie 10000 tena vinachapishwa kwenye stationary ya mtu binafsi iliyopo karibu na NNB bank.Takukuru angalieni hili.maeneo mengine mbona vinatolewa bure kwa kulipia 500 ya lamination ukiihitaji.mkurugenzi unajua hili analofanya afisa elimu wako hasa wa s/m?