senene ni tamu jamani

Njoo huku nikupeleke Arusha Break Point iliyoko pembeni ya Makalio Bar wanazo 24/7. Bwenga wote Arusha wanahudhuria daily. Thanx though..I never eat insects....that's special for birds.

Arushaone jaribu kitu kumbikumbi mi naona ndo watamu kuliko senene
 
Watu wanakula panya,nini senene bhana.



Yote ni usenge tu....we mtu utakulaje panzi (senene), panya, mbwa, au hata paka? Yaani mboga hakuna au. Panya ni kwa ajili ya nyoka, panzi ni kwa ajili ya ndege na vijusi, paka anakula panya watuingiliao majumbani. Leo hii tunashindana na ndege kula chakula chao? Na badala ya kumwachia paka afanye kazi yake, sisi ndiyo tumegeuka kuwa paka watu kwa kula panya. Hii dunia hii?
 
Back
Top Bottom