Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,397
- 14,505
Morocco imetawazwa kuwa mabingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika la 2025 baada ya uamuzi mzito siku ya Jumanne kueleza kuwa ushindi wa bao 1-0 wa Senegal kwenye fainali umebatilishwa.
Senegal ilikuwa imeshinda mechi hiyo huku Pape Gueye akifunga bao la ushindi katika muda wa nyongeza, lakini ushindi huo ulipatikana katika mazingira yenye utata baada ya wachezaji wa Senegal kutoka nje ya uwanja wakigoma wakati wa dakika 90 za kawaida za mchezo.
Walikwazwa na maamuzi mawili, la kwanza likiwa ni kukataliwa kwa bao la Ismaila Sarr, kabla ya Morocco kutunukiwa mkwaju wa penalti katika dakika za lalasalama kufuatia kuingilia kati kwa mtambo wa VAR.
CAF imetoa uamuzi rasmi wa kuipatia Morocco ushindi wa fainali kwa njia ya forfeit, kwa mabao 3-0.
Soma: FT: Senegal 1-0 Morocco | AFCON 2025 | Fainali | Stade Prince Moulay Abdallah | Jan 18, 10:00 PM | Senegal yatwaa Ubingwa
Inaripotiwa kuwa malalamiko mengi ya Morocco yamekubaliwa, huku baadhi ya faini na adhabu zao zikipunguzwa.
Hii ina maana kwamba Morocco sasa ndio mabingwa wa AFCON 2025.
Zaidi kuhusu AFCON
In an unprecedented turn for continental football, the Confederation of African Football (CAF) has declared Morocco as the new champion of the 2025 Africa Cup of Nations. The Appeals Committee decided to annul the original result of the final after upholding the appeal filed by the Moroccan federation against Senegal.
Morocco's complaints were mostly upheld, while some of their fines and punishments were reduced.
A historic and shocking ending to the tournament!
Senegal ilikuwa imeshinda mechi hiyo huku Pape Gueye akifunga bao la ushindi katika muda wa nyongeza, lakini ushindi huo ulipatikana katika mazingira yenye utata baada ya wachezaji wa Senegal kutoka nje ya uwanja wakigoma wakati wa dakika 90 za kawaida za mchezo.
Walikwazwa na maamuzi mawili, la kwanza likiwa ni kukataliwa kwa bao la Ismaila Sarr, kabla ya Morocco kutunukiwa mkwaju wa penalti katika dakika za lalasalama kufuatia kuingilia kati kwa mtambo wa VAR.
Soma: FT: Senegal 1-0 Morocco | AFCON 2025 | Fainali | Stade Prince Moulay Abdallah | Jan 18, 10:00 PM | Senegal yatwaa Ubingwa
Hii ina maana kwamba Morocco sasa ndio mabingwa wa AFCON 2025.
Zaidi kuhusu AFCON
- CAF Yatoa adhabu nzito kwa Senegal & Morocco baada ya Fainali ya AFCON 2025
- CAF yamwadhibu kocha wa Senegal – Pape Thiaw
Africa Cup: CAF strip Senegal of the title, hand it to Morocco
In an unprecedented turn for continental football, the Confederation of African Football (CAF) has declared Morocco as the new champion of the 2025 Africa Cup of Nations. The Appeals Committee decided to annul the original result of the final after upholding the appeal filed by the Moroccan federation against Senegal.
The Cup is taken away from Senegal
The resolution is based on the application of articles 82 and 84 of the regulations. The CAF ruled that the behavior of the Senegal team constituted a serious infringement, declaring their defeat by administrative "no-show." Consequently, the official score of the match has been set at 3-0 in favor of Morocco, awarding them the title at the desks.Sanctions and fines for both teams
The ruling also included additional disciplinary measures. Moroccan player Ismaël Saibari received a two-match suspension, although a $100,000 fine was withdrawn. Meanwhile, the Moroccan federation must pay various reduced fines for incidents with ball boys and the use of lasers during the tournament.A historic and shocking ending to the tournament!