Halafu watz wengi hatujui ama hata kutaka kujua haya mambo ya siasa. Tunazijua hizi maji taka yetu ambayo hata hatujui uchafu wake ni wa kemikali au tope tu la kawaida, tunayaoga tu.God bless you Senator Maccain amesaidia kuokoa maisha ya Maskini Republic wengi ni Wahafidhina ambao wanamiliki Insurance Company sasa huu mpango unawazuia kujilimbikizia faida ....Mwenyenzi Mungu akuponye Maccain!
Sasa unahitajika uijue USA kwa undani kabisa, anzia kwa kumjua Great lier Columbus, njoo mataifa mengine ya Ulaya in America, then utumwa, hapa utajifunza kati ya kaskazini na kusini wapi Kulikuwa na mashamba, wapi viwanda, then utajua watumwa wengi walikuwa wapi?
Sawa, ila tumejifunza kitu haswa kwa vichwa maji wetu nchini, siasa si uadui na upinzani si kupinga kila kitu.Though repubs wameshindwa kuipiga chini Obama care once again
Japo umetumia maneno ya kichochezi,ila kuna ukweli ndani yako.Kuongoza USA ni kazi kubwa kweli.
Huku kwetu ni sawa na kuswaga mbuzi tu,unaweza kumuamuru spika, mahakama unavyopenda. Hakuna utakachotaka kufanya ukashindwa. Pembeni ukiwa na wanafiki kibao!
Huko africa si wanasema ukiwa kiongozi mzuri (mfitini) bas maraia yanakushawishi uongezewe mihula
mfano
kagame
kabila
museveni
mkurunzinza
Jeipiemu loading.............................
Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
Bado unajichanganya tu.Unahama hama na hoja zako.Wewe ndiye uliyechanganya mambo kwa uelewa wako mdogo wa mambo, unadhani humu jukwaani angekuwepo mtu asiyemjua mtu aliyewahi kuwania Urais wa marekani ktk miaka ya hivi karibuni?
Nilielewa concept yake, hata akamtaja Deo, ila Umaccain si lazima utoke ktk chama kinachotawala tu, hata Lissu anaweza kupanga hoja ya upinzani yenye maslahi mapana ya wananchi, ndio u Maccain uliooneshwa hapa.
Fikiri kwa mawanda mapana, si mnajiita ma GT humu.
Kwa hiyo huko US pia kuna Form 5 na 6 nilikuwa sijui hiliSiku moja nilikuwa na mmarekani, ni form six, anafanya kazi za kujitolea ikiwa ni mkakati wa kutafta pesa za kwenda kusoma Bsc. Nursing kozi ya ndoto yake.
Nilimuuliza, kipi kibaya kwenye Obama Care?
Alijibu straightforward kabisa, kuwa Obama Care imesababisha hata wenye uwezo wa kufanya kazi kutothamini kazi kwa kuwa wana uhakika na matibabu. Hivyo watu wamekuwa tegemezi.
Aliongeza kuwa, pia inashusha kiwango cha ubora wa matibabu.
Nilimshangaa kwa kweli. Wakati sie tunaomba huduma hizo ziwe free of charge, eti wengine wanaona watu watakuwa lazy and irresponsible.
Hatari tupu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaotaka kuiondoa ni hasa wale wanaoona kwamba wanalazimika kulipa zaidi, hususan wale wenye nazo zaidi. Republicans kwa miaka yote waliyoipinga Obamacare na kudai kuifuta, hawakuwa wameandaa mpango mbadala. Na hilo ndiyo tatizo za Trumpcare. There is nothing there. Badala ya kuiboresha sheria iliyopo, wanataka tu kuifuta na kwa hivyo kuhatarisha maisha ya watu wengi.Inatoa haki sawa ya matibabu kwa masikini na matajiri japo matajiri wanatoa kiasi kikubwa zaidi cha fedha, Obama care haina shida yoyote sema watu wanataka kama Trump anaiondoa hiyo anatakiwa alete nzuri zaidi kuliko hiyo Obama care