ArD67
JF-Expert Member
- Nov 14, 2016
- 2,817
- 2,045
Haina mapungufu kwa wenye kipato cha chini, ila ni inagharamiwa na wenye kipato cha juu kupitia mibinyo ya kiserikali ya kuratibu mambo kama kodi, ushuru nk.Hivi kwa wajuzi naomba ufafanuzi hii Obama care ina mapungufu gani?na ina faida gani kwa wananchi wa kipato cha chini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app