Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,373
- 6,088
Kitendo cha Senator Maccain ni mfano tosha wa demokrasia kwani kama ingekuwa ni hapa Tanzania Senator Maccain angeonekana ni msaliti wa chama chake.
Mungu ambariki Senator Maccain ambaye wiki ijayo anarudi Arizona kupata matibabu ya Kansa ya ubongo. I Hope he will die as a hero for poor Americans