Semina ya mafunzo ya utengenezaji wa sabuni za magadi na za maji za aina zote

TEMBO WANGU

JF-Expert Member
Feb 21, 2014
929
1,277
wakuu habari za muda huu!
TMG AFRICA inakuletea semina ya mafunzo ya utengenezaji wa sabuni za magadi na za maji za aina zote. mafunzo hayo yatafanyika kila siku ya jmosi na jumapili katika ofisi yetu iliyopo kawe ukwamani, katika wilaya ya kinondoni. gharama ya mafunzo hayo ni shilingi elfu kumi tu (10000), mafunzo yatatolewa katika ofisi yetu ya TMG AFRICA, muda nikuanzia SAA 4 asubuhi hadi Saa 7 mchana. kwa mawasiliano piga 0687 873592 na 0757994417nyote mnakaribishwa,ukisikia TANGAZO hili mtaarifu na mwenzio

"NJOO UJIFUNZE KWA VITENDO"
 
Back
Top Bottom