Semina ya kufufua vitu vilivyokufa mjini Dodoma

Mwingine anajiita nabii mkuu!!! Wizi mtupuuuuu!! Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa!!
 
Aise kwa mwendo huu kweli Masikini wanajifilisi kupitia hizi dini maana kila kukicha manabii wanaibuka yote ni mifumo ya upigaji tu hakuna kipya kufufua vilivyokufa ndiyo maana inchi nyingi za kiafrika ni masikini tunapoteza muda sana.
 
Jamani amesema anafufua vitu sio watu

Msimhukumu kwa kiasi hicho km ni nabii wa uongo au wakweli mungu ndo anajua na atamhukumu mwenyewe..
Hakuna aliyekamilika km huja tapeli kwenye mambo yakiroho umetapeli kwenye mapenzi au kazi....

Kabla hatuja nyoosha kidole kimoja tukumbuke vingine vitatu vinatugeukia..
 
vijana wamekosa ajira, sasa huyu kajiongeza kaamua kujiita nabii mfufuaji. Ama kweli Tz tuna vipaji vya kila aina.
 
Jamani amesema anafufua vitu sio watu

Msimhukumu kwa kiasi hicho km ni nabii wa uongo au wakweli mungu ndo anajua na atamhukumu mwenyewe..
Hakuna aliyekamilika km huja tapeli kwenye mambo yakiroho umetapeli kwenye mapenzi au kazi....

Kabla hatuja nyoosha kidole kimoja tukumbuke vingine vitatu vinatugeukia..
hatumhukumu, ila huyu bwana mdogo sio nabii, wala sio mfufuaji. hatuwezi kuona umma unadanganywa kisha tukae kimya.
 
Aende makaburini,unataka maiti wakufate Dodoma uwafufue!??nilitegemea ungepigana kukemea pepo la kifo kwanza!!
 
Sasa naelewa kwanini thread nyingine ulipiga picha ikang'aa ningeshangaa nisingekuta uzi wa hivi.

(Kila nafsi itaonja mauti) sasa wewe unabishana na muumba wako yeye afishe wewe ufufue kweli?
huyu jamaa ni mpiga dili. wajinga ndio waliwao.
 
Back
Top Bottom