Semina ya kufufua vitu vilivyokufa mjini Dodoma

Nilielewa vingine mada... atafufua yale yaliyopita kimya kimya yaani Richimond, Meremeta, Buzwagi, EPA, na mengineyo ambayo serikali hazikuchukua hatua hivyo unatoa semina kwa wabunge wapya ili kuiwajibisha serikali
Jf vituko
 
Umenena Nabii ila ungeenda kufufua vitu vya Kagela vilivyo kufa wakati wa tetemeko Jitahidi ufanye hivyo
 
Kwa Sasa hivi dodoma ndipo panaponukia pesaaaaa..... Jenga na hekalu kabisa kabla maeneo YA town hayajapanda bei...
Tena ahakikishe kwenye mahubiri yake anaponda serikali vilivyo bila kusahau Matokeo ya bashite na michambo ya kumwaga
 
Please msitumie neno " nabii" tumieni huyu mkaka, jamaa, mshkaj n.k hana sifa za kuwa nabii huyo mhuni tu
 
Unanikumbusha wale waumini wa kibwetere aliwaambia watoe sadaka achome moto pamoja nae waende Mbinguni nabii aliingia mitini aliwachoma waumini wake tuu mpaka leo hata yeye ajulikani alikimbilia wapi...
 
Nabiiiii?? Nyie ndio matapeli wakubwa mnaoendelea kuibia watu mchana kweupe. Mchaga wapi na wapi unabii, unakuja kufanya biashara ya kiroho sio. Tuliza hizo Pu. mbu. kafanye kazi nyingine hata kilimo. Kijana mdogo unajifunza utapeli, usipite kwenye anga zangu nakukata hayo masikio.
 
Back
Top Bottom