Semina ya kufufua vitu vilivyokufa mjini Dodoma

Kwa uelewa wangu wa dini manabii hufuatwa na watu, si manabii kujitangaza wakitafuta watu.
Acheni unabii wa mwendokasi
Kwanza nani alikupa huo unabii?
Ni kweli kabisa.

Hawa ni FEKI FEKI, WAONGO, WATAKA PESA TU.
 
Wamehamia dodoma sasa,kauli ya mheshimiwa nimeiamini sasa bado wachungaji wengine nao kukimbilia huko,Fursa zimehamia Dodoma sasa
 
Nitakuwa live ifikapo saa 4 usiku kaa tayari.....[HASHTAG]#Prophetic[/HASHTAG] machine.
facebook copy.jpg
 
TESHA UNABII UMEUANZA LINI? NA NANI ALIKUPA? KWA UFAHAMU WANGU WANAE FUFUA VITU NI MAFUNDI TU!
 
Back
Top Bottom