Semina, Mafunzo hata bila malipo

Mwason

Member
Feb 2, 2014
13
0
Nahitaji kushiriki kwenye semina yoyite ile au mafunzo yoyote yawe ya kijamii, uchumi,biashara, uongozi na hata utafiti niko tayari hata bila malipo nitashiriki.

Yoyote atakae sikia nafasi hizo anijulishe kupitia godfreysaimon941@gmail.com au 0763978461, 0656051715 in Dar es salaaam
 
ukipata na mm waweza kunijulisha kwa kuni PM nilikuwa na ombi linalofanana na la kwako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom