BENEDICT BONIFACE JF-Expert Member Aug 31, 2013 235 396 Dec 17, 2017 #101 fainali inachezwa saa ngapi
mjumbe wa bwana JF-Expert Member Sep 19, 2016 5,188 6,011 Dec 17, 2017 #102 Wewe ni mtanzania au mzanzibar kama ni Tanzania waache wazanzibar na timu yao Njoo tupambane kuiua chadema
Wewe ni mtanzania au mzanzibar kama ni Tanzania waache wazanzibar na timu yao Njoo tupambane kuiua chadema
chabuso JF-Expert Member Feb 18, 2013 6,380 5,871 Dec 17, 2017 #103 mjumbe wa bwana said: Wewe ni mtanzania au mzanzibar kama ni Tanzania waache wazanzibar na timu yao Njoo tupambane kuiua chadema Click to expand...
mjumbe wa bwana said: Wewe ni mtanzania au mzanzibar kama ni Tanzania waache wazanzibar na timu yao Njoo tupambane kuiua chadema Click to expand...
D dos.2020 JF-Expert Member Feb 17, 2009 9,547 7,846 Dec 17, 2017 #104 King Ngwaba said: View attachment 652500 Hiyo ↑↑ Ndiyo Bendera Ya Kwanza Ya Wazanzibari Baada Ya Kupewa Uhuru Wao Kamili December 1963... Ingawa Uhuru Huo ulidumu Mwezi mmoja tu na Kupinduliwa Mwaka 1964. Click to expand... Hii ndio bendera halisi ya Zanzibar. Izo nyengine zote za ccm si za zanzibar.
King Ngwaba said: View attachment 652500 Hiyo ↑↑ Ndiyo Bendera Ya Kwanza Ya Wazanzibari Baada Ya Kupewa Uhuru Wao Kamili December 1963... Ingawa Uhuru Huo ulidumu Mwezi mmoja tu na Kupinduliwa Mwaka 1964. Click to expand... Hii ndio bendera halisi ya Zanzibar. Izo nyengine zote za ccm si za zanzibar.